Mgogoro wa Spika Vs CAG : Role ya Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Hamisi Juma ni ipi?

businesslink

Senior Member
Mar 20, 2019
129
113
Je Jaji Mkuu wa Tanzania amefanya nini na ame play role ipi kwenye hii sakata?

Ni kweli kikatiba, mamlaka yake na mhimili wake hauingilii mihimili mingine lakini je ni kweli hana role yoyote ile kwenye huu mgogoro?

Kuna nini nyuma ya pazia?

Tafakari then Jadili
 
Ni wakati muafaka sasa kuwa na KATIBA imara itakayo unda mihimili na taasisi imara, siyo kama hii tuliyonayo. Mtu kama spika hana mamlaka ya kuingilia kazi na wajibu wa C A G. Japo CONTROLLER siyo muhimili lakini ni taasisi ipo ki katiba. Inapotokea sintofahamu kama hii lazima taratibu za kikatiba zifuatwe na siyo kama anavyotaka huyu MGOGO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom