businesslink
Senior Member
- Mar 20, 2019
- 129
- 113
Katika hali ya kawaida nilitegemea kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Bashiru Ali atakuwa mstari wa mbele kutafuta suluhu ya mgogoro huu kati ya CAG Prof. Mussa Assad na Spika wa Bunge Ndugu Job Ndugai.
Kama katibu Mkuu wa CCM je ndugu Bashiru amefanya jitihada zipi ili kulimaliza hili jambo? Na kama amefanya jitihada kimya mbona hajajitokeza hadharani kwa maslahi ya nchi ambayo CCM nids chama Tawala?
Kimya chake tukitafsiri vipi? Je ina maana yuko upande wa upi?
Mwisho Kabisa....
Kama alishawahi kuwakutanisha ili kuwapatanisha hawa watu wawili na wakakubaliana, mbona hajitokezi kusema walikubaliana nini wazi nani alivunja shayo makubaliano?
Mungu Ibariki Tanzania Mungu