Mgogoro wa Shule ya Ndanda na Udini unaoinyemelea siasa za Nchi yetu.Kikwete kuwa macho

Status
Not open for further replies.
shukuru influence ya kanisa ktk nchi hii manake ungezaliwa saudia ungekuwa huna mama, angetandikwa mawe hadi afe kwa kosa la kukuzaa nje ya ndoa. Mambo yenu yanaashiria nini mnawaza kwa kutwa. Naomba nikuulize, hii ni halali?

View attachment 46902ulitaka mkuu wa mkoa apewe nishani na huyu au?

Nenda shule msomali, ni ujinga ndio unawaanya muuane kule kwenu. Wenyewe wanaowafanya mcharazane bakora mkivaa nguo fupi ndio hawa wanayafanya haya hadharani, kazi kwenu msiotumia kichwa kufikiri.

Ukiambiwa ukweli huishi kusema cdm, kumbe unajua kuwa kweli tupu ipo cdm eeh?
kinachonifurahisha mod sio wakali kwa ccm. Kikubwa zaidi na kwa waislam
 
Ushamba mwingine bana... We kama una uchungu nenda Ndanda kaliazishe na sio kuweka post isiyo na mashiko halafu unaichangia wewe mwenyewe kwa 60%. Huo ni ushamba na sio uchochezi kwani watu siku hizi wanatumia akili zao hawashikiwi na majinga kama wewe.
 
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Benedict wa XVI amemtunuku nishani ya Mtakatifu Gregory Mkuu, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia kwa utumishi uliotukuka kwa kanisa (KULITUMIKIA KANISA NA SIO JAMII)

Nishani hiyo ilikabidhiwa kwa Simbakalia aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kwa karibu miaka sita, na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma, Protas Rugambwa kwa niaba ya Papa katika misa ya Ibada ya Krismasi iliyofanyika kwenye Kanisa la Bikira Maria mshindaji mjini Kigoma

Akisoma hati hiyo, Katibu wa Kanisa hilo Jimbo la Kigoma, Kiliani Teleba alisema anamtangaza Joseph Simbakalia kutoka Jimbo la Kigoma kuwa shujaa wa ukoo bora wa
Mtakatifu Gregory Mkuu wa Daraja la Kiraia na kumpatia uwezo wa kutumia haki zote zinazotokana na hadhi hiyo.

Akishukuru kwa nishani aliyotunukiwa na heshima aliyopewa, Simbakalia alisema wakati akija
Kigoma kutumikia nafasi yake ya ukuu wa mkoa, hakuwaza kama siku moja atatunukiwa heshima hiyo kubwa katika kanisa(NA SIO SEREKALI)

MGOGORO WA SHULE YA NDANDA NA MAJIBU YA MKUU WA MKOA

MGOGORO wa kidini uliosababisha wanafunzi 20 kufukuzwa shule ya sekondari ya wavulana Ndanda, (Ndanda High School) wilayani Masasi mkoani Mtwara umechukua sura mpya baada ya agizo la serikali la kutaka wanafunzi hao kurejeshwa shuleni kugonga mwamba.

Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia akihojiwa na TBC leo (Febuari, 6, 2012) alisema ni wanafunzi watatu tu waliorejeshwa shuleni ambao rufaa zao zilisikilizwa.
Ni kweli serikali iliagiza kurejeshwa kwa wanafunzi hao kwa kufuata utaratibu ambao ulitaka wazai kukata rufaa na kuniletea kwa ajili ya kusikilizwa upya madai yao kasha kutengua maamuzi…ni wanafunzi watatu tu waliofanya hivyo" alisema Simbakalia

HAPA WAISLAM WATEGEMEE NINI KATIKA MGOGORO HUUU HASA UKIZINGATIA AHADI ALIEWEKA MKUU WA MKOA SIKU YA KUKABIDHIWA NISHANI NA KANISA KATOLIKI NCHINI?NA SHULE YA NDANDA NAYO NI YA KANISA KATOLIKI

Kweli ujinga mzigo, yaani mijitu imepewa nafasi ya kukata rufaa imekataa halafu mnanyambulisha mambo katika mrengo wa kidini. Mbona unajichanganya mwenyewe!
 
kinachonifurahisha mod sio wakali kwa ccm. Kikubwa zaidi na kwa waislam

Sikuelewi, mods wamefanyaje tena. Wewe umeanza kuweweseka? Kuoneshwa picha ya mambo ya dini yenu tu akili imekuruka, mbona yapo mengine mazito zaidi ya huyo mama. Nitumie anwani yako nikupe links uone kama hukuachana na dini yenyewe. Dini gani kuuana ndio kigezo cha kupewa nishani?
 
Akishukuru kwa nishani aliyotunukiwa na heshima aliyopewa, Simbakalia alisema wakati akija
Kigoma kutumikia nafasi yake ya ukuu wa mkoa, hakuwaza kama siku moja atatunukiwa heshima hiyo kubwa katika
kanisa(NA SIO SEREKALI)

HAPA UNASEMAJE?

Wewe mbona punguani hivyo? sasa tatizo liko wapi mtu kujitanabaisha na dini yake, kila jambo lina wakati wake, kwa hapo alipokuwa hilo lilikuwa ni tamko sahihi. Mbona Viongozi wakiapishwa wanatumia vitabu vya dini zao kuonyesha kuwa hata serikali, tena inayoongozwa na muislamu mwenyenu JK na makamu wake Bilal wanatambua kuwa dini ina nafasi ya pekee katika maisha ya mtu. Simbakalia alianza kuwa mkatoliki kabla hajawa mtumishi wa serikali hivyo hana budi kukitukuza na kuheshimu kile kilicho na maana kubwa zaidi kwake.
 
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Benedict wa XVI amemtunuku nishani ya Mtakatifu Gregory Mkuu, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia kwa utumishi uliotukuka kwa kanisa (KULITUMIKIA KANISA NA SIO JAMII)
Mpeleke Macca akahiji ili naye awe Alhaji!
 
watarudishwa watakapofuata kanuni,sheria taratibu za shule. Na si kwa kufuatisha uchochezi wa mashekhe ubwabwa wapenda umaarufu
 
Watu wengine bwana
  1. Anaenda shule badala ya kusoma analeta UDINI
  2. Anaenda kazini badala ya kufanya kazi analeta UVIVU
  3. Anaenda msikitini badala ya kuswali analeta SIASA
 
Wamesharudishwa shuleni, hakuna aliyeomba radhi. Ni uhuni tu wa mkuu wa mkoa ...
 
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Benedict wa XVI amemtunuku nishani ya Mtakatifu Gregory Mkuu, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia kwa utumishi uliotukuka kwa kanisa (KULITUMIKIA KANISA NA SIO JAMII)

Nishani hiyo ilikabidhiwa kwa Simbakalia aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kwa karibu miaka sita, na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma, Protas Rugambwa kwa niaba ya Papa katika misa ya Ibada ya Krismasi iliyofanyika kwenye Kanisa la Bikira Maria mshindaji mjini Kigoma

Akisoma hati hiyo, Katibu wa Kanisa hilo Jimbo la Kigoma, Kiliani Teleba alisema anamtangaza Joseph Simbakalia kutoka Jimbo la Kigoma kuwa shujaa wa ukoo bora wa
Mtakatifu Gregory Mkuu wa Daraja la Kiraia na kumpatia uwezo wa kutumia haki zote zinazotokana na hadhi hiyo.

Akishukuru kwa nishani aliyotunukiwa na heshima aliyopewa, Simbakalia alisema wakati akija
Kigoma kutumikia nafasi yake ya ukuu wa mkoa, hakuwaza kama siku moja atatunukiwa heshima hiyo kubwa katika kanisa(NA SIO SEREKALI)

MGOGORO WA SHULE YA NDANDA NA MAJIBU YA MKUU WA MKOA

MGOGORO wa kidini uliosababisha wanafunzi 20 kufukuzwa shule ya sekondari ya wavulana Ndanda, (Ndanda High School) wilayani Masasi mkoani Mtwara umechukua sura mpya baada ya agizo la serikali la kutaka wanafunzi hao kurejeshwa shuleni kugonga mwamba.

Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia akihojiwa na TBC leo (Febuari, 6, 2012) alisema ni wanafunzi watatu tu waliorejeshwa shuleni ambao rufaa zao zilisikilizwa.
Ni kweli serikali iliagiza kurejeshwa kwa wanafunzi hao kwa kufuata utaratibu ambao ulitaka wazai kukata rufaa na kuniletea kwa ajili ya kusikilizwa upya madai yao kasha kutengua maamuzi…ni wanafunzi watatu tu waliofanya hivyo" alisema Simbakalia

HAPA WAISLAM WATEGEMEE NINI KATIKA MGOGORO HUUU HASA UKIZINGATIA AHADI ALIEWEKA MKUU WA MKOA SIKU YA KUKABIDHIWA NISHANI NA KANISA KATOLIKI NCHINI?NA SHULE YA NDANDA NAYO NI YA KANISA KATOLIKI

Tatizo lenu ni hilo ndugu zangu wapendwa waislam! Look at the facts za mgogoro huo. Usiwe-influenced na dini, iweke kando dini kwanza angalia facts surrounding the complaints. What are the key issues- frame the issues to be decided. Kuwa logical katika analysis zako, then utapata ukweli usio na mwegemeo wa dini. Umetanguliza udini sana and by that umeshaji-bias already you will never reach a just decision/conclusion. When the major premise is wrong, whatever the minor premises might be , the conclusion will be wrong.

Issue ya NISHANI: Tatizo ni lile lile la wrong major premise!!!Nadhani nishani ya dini na kutenda haki kwenye kazi za serikali havina uhusiano. After all kanisa ni jamii moja wapo ya watanzania. Ina maana na wakristu waseme Kikwete hatendi haki kwa wakristo simply because is a moslem!! No, Not at all. Kuwa na positive mind first, then from there you will make just findings!!! the opposite will push you in a negative conclusion
 
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Benedict wa XVI amemtunuku nishani ya Mtakatifu Gregory Mkuu, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia kwa utumishi uliotukuka kwa kanisa (KULITUMIKIA KANISA NA SIO JAMII)

Nishani hiyo ilikabidhiwa kwa Simbakalia aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kwa karibu miaka sita, na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma, Protas Rugambwa kwa niaba ya Papa katika misa ya Ibada ya Krismasi iliyofanyika kwenye Kanisa la Bikira Maria mshindaji mjini Kigoma

Akisoma hati hiyo, Katibu wa Kanisa hilo Jimbo la Kigoma, Kiliani Teleba alisema anamtangaza Joseph Simbakalia kutoka Jimbo la Kigoma kuwa shujaa wa ukoo bora wa
Mtakatifu Gregory Mkuu wa Daraja la Kiraia na kumpatia uwezo wa kutumia haki zote zinazotokana na hadhi hiyo.

Akishukuru kwa nishani aliyotunukiwa na heshima aliyopewa, Simbakalia alisema wakati akija
Kigoma kutumikia nafasi yake ya ukuu wa mkoa, hakuwaza kama siku moja atatunukiwa heshima hiyo kubwa katika kanisa(NA SIO SEREKALI)

MGOGORO WA SHULE YA NDANDA NA MAJIBU YA MKUU WA MKOA

MGOGORO wa kidini uliosababisha wanafunzi 20 kufukuzwa shule ya sekondari ya wavulana Ndanda, (Ndanda High School) wilayani Masasi mkoani Mtwara umechukua sura mpya baada ya agizo la serikali la kutaka wanafunzi hao kurejeshwa shuleni kugonga mwamba.

Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia akihojiwa na TBC leo (Febuari, 6, 2012) alisema ni wanafunzi watatu tu waliorejeshwa shuleni ambao rufaa zao zilisikilizwa.
Ni kweli serikali iliagiza kurejeshwa kwa wanafunzi hao kwa kufuata utaratibu ambao ulitaka wazai kukata rufaa na kuniletea kwa ajili ya kusikilizwa upya madai yao kasha kutengua maamuzi…ni wanafunzi watatu tu waliofanya hivyo” alisema Simbakalia

HAPA WAISLAM WATEGEMEE NINI KATIKA MGOGORO HUUU HASA UKIZINGATIA AHADI ALIEWEKA MKUU WA MKOA SIKU YA KUKABIDHIWA NISHANI NA KANISA KATOLIKI NCHINI?NA SHULE YA NDANDA NAYO NI YA KANISA KATOLIKI

Tatizo lenu ni hilo ndugu zangu wapendwa waislam! Look at the facts za mgogoro huo. Usiwe-influenced na dini, iweke kando dini kwanza angalia facts surrounding the complaints. What are the key issues- frame the issues to be decided. Kuwa logical katika analysis zako, then utapata ukweli usio na mwegemeo wa dini. Umetanguliza udini sana and by that umeshaji-bias already you will never reach a just decision/conclusion. When the major premise is wrong, whatever the minor premises might be , the conclusion will be wrong.

Issue ya NISHANI: Tatizo ni lile lile la wrong major premise!!!Nadhani nishani ya dini na kutenda haki kwenye kazi za serikali havina uhusiano. After all kanisa ni jamii moja wapo ya watanzania. Ina maana na wakristu waseme Kikwete hatendi haki kwa wakristo simply because is a moslem!! No, Not at all. Kuwa na positive mind first, then from there you will make just findings!!! the opposite will push you in a negative conclusion
 
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Benedict wa XVI amemtunuku nishani ya Mtakatifu Gregory Mkuu, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia kwa utumishi uliotukuka kwa kanisa (KULITUMIKIA KANISA NA SIO JAMII)

Joseph katunukiwa tuzo kwa kushika dini yake, anasali kila siku asubuhi, mchana na jioni, ana tabia njema ya upendo na uwazi. Hakutunzwa kwa ajili ya kazi yake. Na tuzo kama hizi hapewi mtu asiye na upendo na kutenda haki kwa jirani zake. Tenganisha haya mambo. Kuwa na mtizamo zaidi ya udini!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom