Mgogoro wa SHAFIH DAUDA wa clouds fm NA WAZEE WA YANGA

Shafii vp tena mbona unakuwa mshakunaku? Harusi hujachingia unabeba ndizi na chachandu za nn?
 
Hawa clouds wanajifanya wa kisasa sana tuliwapa kusimamia mapato ya mechi pale taifa wakaondoka na fuko la hela lote,. Clods wanafiki wote
 
Radhia Sweety kama huna cha kuchangia tafadhalii, hapa sio sehemu ya kuleta utani.
Nikiingia kwenye hoja ya leo, mm nafikiri Mzee Akilimali atumie busara zake kutafuta suluhu ya matatizo yao kuliko kuhusisha migogoro yao pamoja na kushindwa kumleta kocha na mtu mdogo kama Shafii Dauda.
Nawaomba Mzee akilimali na wanayanga wote waelewe kazi ya waandishi wa habari ni kupiga kelele kwa kile kilichotokea. Kwani ni uongo kocha Papic aliondoka na kinyongo cha kutolipwa mishahara yake, sasa kuna kibaya alichofanya Shafii kama alipopiga kelele waliosikia ni wengi akiwemo na Maximo?
Hivi ingekuwa waandishi wana nguvu ya kusababisha mambo, kwa nini hawakuweza kumaliza migogoro ndani ya klabu yenu kwani nina imani wapo waandishi wenye mlengo wa kuisapoti Yang! Naomba tuache kutafuta paka wa kumfunga kengele tutatue migogoro yetu!!! Sioni kosa la Shafii Dauda katika hili.
 
Huyu Dauda mnafiki na mchakuchaku sana. Nasikia ndiyo yeye aliyesababisha hadi Baloteli anapigwa benchi na Manchini. Baloteli alimaindi kinoma ila akaona aipotezee tu.

Hata mimi nimesikia, alafu eti yeye ndo aliyefanya hata Ngasa asichukuliwe na West Ham UTD, jamii kweli mtu mbya sana
 
TIQO,bora emails ziletwe na hata sms,,,,maanda juzi nimemsikia DAUDA kampa siku 7 akiliwealth aombe radhi au amfikishe mahakaman
 
Last edited by a moderator:
Akiletewa email hizo aibu ataificha wapi?

Shafii ni mnafiki sana dawa yake inatokota hata kazi ataiacha asubiri tu jana nilikuwa na wanazi wa yanga wanamtafutia dawa yake akae mkao wa tahadhari .....maana unafiki hajaanza leo anajifanya anajua sana kuandika na kuwasiliana na vilabu au mawakala wa nje,kumbuka alimkuwadia mchezaji mmoja wa simba(pawasa) akacheze team moja hali yeye hajui...lolote akatengeneza email kwa jina la pawasa...siku zimepita ila ndio tabia yake!!muda wake wahesabika!!!
 
Back
Top Bottom