Mgogoro Wa Moscow na Washington ni Kiini Macho au?

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Wakuu kulikua kuna kaurafiki ka serikali ya Moscow na Washington pale Rais Donald Trump aliposhinda Urais na Hata Kusema Eti Russia Ilishiriki katika Kuhack systems za Kuhesabia Kura ili Trump Apite tuhuma ambazo zilikanushwa Vikali na Serikali ya Moscow.


Baada ya serikali ya Marekani Kuanza Kuipiga Syria Urusi ikatangaza Kuwa hawatavumilia lazima waisaidie Ulinzi Serikali ya Syria hasa Ulinzi wa Anga.

Je Marekani Atamuweza Rais Putin kweli endapo ataamua Chochote Kwa Sababu Urusi haijawahi Kuwa na Urafiki na Marekani Na Putin Ni Mtu ambaye ni Kigeugeu sana Urafiki wake ni Kwa Maslahi ya Urusi na si Marekani Hivyo hivyo kwa Marekani Haijawahi kuwa na Urafiki na Nchi Bila Kuweka Maslahi yake Mbele.

IMG_20170414_163627_296.JPG


C73xFtRVsAEQulN.jpg
 
Nikionacho ni kiini macho. Bwana Trump anajaribu kutengeneza habari ili TV na magazeti za US zisiendelee kumponda.
 
Marekani na russia ni maadui wa asili,na mmarekani hatatulia mpaka ahakikishe kaweka mtu wake ikulu ya moscow.
Moscow nao hawatakubali kutawaliwa na mmarekani kirahisi rahisi
 
Back
Top Bottom