Pistol
Senior Member
- Oct 13, 2015
- 194
- 86
Mgogoro wa mapato na matumizi mabaya umeibuka baada wajume wa tawi hilo la CCM Mguruwe Temeke jijini Dar es salaam ambapo wajumbe wa tawi hilo wanawatuhumu mwenyekiti na katibu wake na wajumbe wengine kwa upotezu wa million 14 zinazotokana na miradi mbalimbali ya tawi hilo.
Mgogoro huo umetokana na uongozi kushindwa kutoa taarifa za mapato ya miradi ya tawi hilo yanayotokana na miradi mbalimbali kama ukodishaji wa flame za maduka,uegeshaji magari utengenezaji wa matofari pamoja na bar.
Akizungumza mmoja wa tawi hilo amesema ni miaka 2 sasa mwenyekiti na hajawahi kuitisha kikao cha kamati ya siasa pamoja na halmashauri kuu kwa karenda,halikadhalika na kudai mpaka sasa hawajalipwa pesa zao za BVR kiasi cha laki moja.
Mwenyekiti wa tawi hilo Daimond buhando pamoja na Joyce Nkodo wamekanusha tuhumwa hizo ambazo wamesema hazina ukweli ndani yake, japo wanahutumiwa kutokuwa na akaunti ya benki kwa ajili ya kuwekea makusanya ya miradi hiyo iliyopo katika tawi la Maguruwe.