superfisadi
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 553
- 52
ukweli kutoka vyanzo hakika ndani ya cdm , mallah alichukua 15 m akawaingiza wenzake kwenye muafaka akiwa kama mkiti wa madiwani akawaambia
Anabaraka toka makao makuu , madiwani wamekiri na wameomba msamaha Jambo wanalolalamikia ni lema kapita vijiwe vyote a town kawaeleza masela madiwani wamevuta pesa wakawasaliti sasa madiwani wa cdm wanapita vichwa chini