lebadudumizi
Senior Member
- Jun 9, 2011
- 149
- 20
Nakubaliana na wewe kwa maelezo yako lakini nina shaka na hapo kwenye nyekundu.
Kama walipewa mfupa mkubwa bila kujali uwezo wao, je walipata wapi uwezo wa kuingia mkataba wa kugawana madaraka? kama ulikuwa ni mfupa mkubwa kwanini hawakumueleza katibu mkuu kwamba huu mfupa ni mkubwa??
Tunatakiwa tutenganishe kati ya maslahi binafsi na maslahi ya umma. Tukisha chora mstari hapo ndo tutajadiliana vizuri zaidi.
Hili limekunywa maji ya bendera lina afadhali kidogo.