Mgogoro wa Madiwani Bukoba: Masilahi ya Wananchi na Nchi kwanza ya Chama baadae!

Hivi bwana nape kwa mapovu haya ndio walikuamini wakakupa uenezi?Hivi hawa wanaompinga meya fisadi na waliowafukuza ni nani anayetetea maslahi ya wananchi?

Jipange braza lichama mfu linateketea kabisa kwa kukumbatia wauza unga,mafisadi,wauaji majambazi ambao ndio wafadhili wa magamba.
 
Umeanza kuchukua mawazo ya Mwesigwa Baregu atleast unaanza kukua kiakili hongera kwa hilo lakini mara nyingi mimi sioni kosa lako ila huwa unafanya kile ulichoagizwa ufanye sasa hapo utakua na maamuzi gani binafsi? Kwa ufupi wewe ni Kisemeo cha CCM ingawa mara nyingi hupendi lakini inakubidi pole kwa hilo.
 
Kumekuwa na mijadala kadhaa juu ya namna mambo yanavyokwenda ndani ya CCM hasa kufuatia sakata la madiwani na Meya wa Manispaa ya Bukoba. Kimsingi hali si tete kama inavyojaribu kuelezwa. Taratibu, kanuni, sheria na Katiba ya Chama kupitia vikao vitatumika kulimaliza swala hili kwa amani kabisa. Mwisho wa siku lazima wananchi wa Bukoba na Manispaa yao wapate haki yao ya msingi!

Nimewahi kusema siku nyingi kidogo kuwa NCHI KWANZA VYAMA BAADAE! Tafsiri rahisi hapa ni kuwa masilahi ya wananchi na nchi yao kwanza, masilahi ya Chama na itikadi zetu baadae!

Hivyo kwa kifupi kwa swala la Bukoba lazima masilahi ya wananchi wa Bukoba yatangulizwe mbele na yavuke ushabiki wa kiitikadi. Hatuwezi kupofushwa na mapenzi kwa vyama vyetu tukafumbia macho masilahi mapana ya wanachi wa Bukoba!

Hii haimaanishi sikipendi Chama changu bali ukweli ni kuwa naipenda sana CCM yangu lakini naipenda zaidi nchi yangu!
Mungu ibariki nchi yangu nzuri ya Tanzania
Mungu ibariki CCM iwahudumie vyema Watanzania!

Kaka naona kama unaongea personal feelings ambazo hazipo kwenye kanuni na sheria za chama. Unatakiwa uzifanye ziwe sheria ili uwe na nguvu ya kisheria katika kulitekeleza.

Kama chama chenu hakiweki nchi kwanza basi hakistahili kuwepo na kuongoza. Chama cha siasa by default lazima kiweke maslahi ya taifa kwanza.

All the best.
 
mkuu nimekusoma na kukuelewa inabidi ifike mahala muache kufanya utani au kwa lugha nyingine mnatakiwa muwe makini.mambo yanavyokwenda tunakosa imani na viongozi wetu hususani hata na chama chenu ni bora mkafanya kama wenzenu chadema kabla hawajafukuza waliwaita na kuwasikiliza ndio maamuzi ya chama yakatumika.Wewe mwenyewe ulizunguka nchinzima mkisema kuna magamba ndani ya chama na yanatakiwa kujivua kabla hamjayatimua hadi leo hii bado wako uchaguzi wa ccm uliofanyika kule dodoma uligubikwa na rushwa mkasema mtawatimua wote waliohusika hadi leo hawajatoka, mlisema kodi ya simu ni nzuri na imekuja wakati muafaka leo hii mnarudi bungeni kurekebisha,juzi hapa dar kuna bomoabomoa ililenga watu wa kurasini walivyoingia barabarani zoezi likasitiswa ili hali notisi zimeshatolewa.nashauri ifike mahali kuwe namsemaji mmoja na pili tufanye maamuzi magumu kwa ustawi wa jamii na sio kwa ajili ya kupitisha siku. NINA IMANI KUNA SIKU TUTAKUWA NA VIONGOZI AMBAO WATAFANYA MAAMUZI MAGUMU KWA USTAWI WA JAMII NA TAIFA KWA UJUMLA.
MUNGU IBARIKI TANZANIA .
Kumekuwa na mijadala kadhaa juu ya namna mambo yanavyokwenda ndani ya CCM hasa kufuatia sakata la madiwani na Meya wa Manispaa ya Bukoba. Kimsingi hali si tete kama inavyojaribu kuelezwa. Taratibu, kanuni, sheria na Katiba ya Chama kupitia vikao vitatumika kulimaliza swala hili kwa amani kabisa. Mwisho wa siku lazima wananchi wa Bukoba na Manispaa yao wapate haki yao ya msingi!

Nimewahi kusema siku nyingi kidogo kuwa NCHI KWANZA VYAMA BAADAE! Tafsiri rahisi hapa ni kuwa masilahi ya wananchi na nchi yao kwanza, masilahi ya Chama na itikadi zetu baadae!

Hivyo kwa kifupi kwa swala la Bukoba lazima masilahi ya wananchi wa Bukoba yatangulizwe mbele na yavuke ushabiki wa kiitikadi. Hatuwezi kupofushwa na mapenzi kwa vyama vyetu tukafumbia macho masilahi mapana ya wanachi wa Bukoba!

Hii haimaanishi sikipendi Chama changu bali ukweli ni kuwa naipenda sana CCM yangu lakini naipenda zaidi nchi yangu!
Mungu ibariki nchi yangu nzuri ya Tanzania
Mungu ibariki CCM iwahudumie vyema Watanzania!
 
Kumekuwa na mijadala kadhaa juu ya namna mambo yanavyokwenda ndani ya CCM hasa kufuatia sakata la madiwani na Meya wa Manispaa ya Bukoba. Kimsingi hali si tete kama inavyojaribu kuelezwa. Taratibu, kanuni, sheria na Katiba ya Chama kupitia vikao vitatumika kulimaliza swala hili kwa amani kabisa. Mwisho wa siku lazima wananchi wa Bukoba na Manispaa yao wapate haki yao ya msingi!

Nimewahi kusema siku nyingi kidogo kuwa NCHI KWANZA VYAMA BAADAE! Tafsiri rahisi hapa ni kuwa masilahi ya wananchi na nchi yao kwanza, masilahi ya Chama na itikadi zetu baadae!

Hivyo kwa kifupi kwa swala la Bukoba lazima masilahi ya wananchi wa Bukoba yatangulizwe mbele na yavuke ushabiki wa kiitikadi. Hatuwezi kupofushwa na mapenzi kwa vyama vyetu tukafumbia macho masilahi mapana ya wanachi wa Bukoba!

Hii haimaanishi sikipendi Chama changu bali ukweli ni kuwa naipenda sana CCM yangu lakini naipenda zaidi nchi yangu!
Mungu ibariki nchi yangu nzuri ya Tanzania
Mungu ibariki CCM iwahudumie vyema Watanzania!
DEEPGREEN, TANGOLD, MEREMETA, KAGODA, DOWANS/RICHMOND, MADAWA YA KULEVYA, MAUAJI YA MWANGOSI, MATESO YA DR ULIMBOKA, KIBANDA, KUBENEA. MAUAJI YA BOMU NA RISASI SOWETO ARUSHA nk. Haya ni kwa maslahi ya chama au wananchi?
Hakuna kazi ngumu kama kumtumikia shetani. Biblia takatifu inasema "...tokeni katikati yao mkatengwe nao"
 
Bukobawadau.blogspot.com

KAMA HUKUSIKIA TAMKO LA CCM KAGERA HILI HAPA:

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Kagera, kimetetea uamuzi uliofikiwa na Halmashauri Kuu ya chama hicho Mkoa wa kuwafukuza uanachama madiwani nane na kudai kuwa, uamuzi huo utaendelea kuheshimiwa.

Mwenyekiti wa CCM mkoani humo, Bi. Constancia Buhiye, aliyasema hayo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari siku chache baada ya Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa chama hicho Taifa, Bw. Nape Nnauye, kusema uamuzi huo hauna baraka ya vikao vya ngazi ya juu katika chama hicho.

Bi. Buhiye alisema kwa mujibu wa katiba na kanuni ya CCM, Halmashauri Kuu ya chama hicho ndiyo kikao cha mwisho katika maamuzi ya kuwawajibisha wanachama wake ngazi ya Mkoa.

Alisema maamuzi yaliyofikiwa na Halmashauri Kuu ya CCM mkoani humo ya kuwafukuza uanachama madiwani hao ni halali na yataendelea kuheshimiwa hadi hatua nyingine zitakapofikiwa kama rufaa ya madiwani hao au ushauri wa vikao vya juu.

"Kwa kutumia katiba hii na kanuni hii, Halmashauri Kuu ya CCM ni chombo chenye haki ya kusimamisha uanachama wanachama wake," alisema Bi. Buhiye.

Aliongeza kuwa, vikao vya juu katika maamuzi yake pia vitarejea katiba na kanuni ya chama na kuwataka wana CCM Mjini Bukoba kuwa watulivu, wavumilivu na kuheshimiana ili kuepuka suala zima la uvunjifu wa amani.

"Mimi sipingani na Nape na sitaki kuamini niliyoyasikia kutoka kwa watu wengine maana mimi binafsi sikusikia lakini katika katiba yetu, hakuna kikao kinachofuta maamuzi ya kikao kingine, kila kikao ni halali," alisisitiza Mwenyekiti huyo.

Aliongeza kuwa, "Halmashauri Kuu ni kikao halali na maamuzi ni halali ambayo yataendelea kuheshimika." alisema na kudai kuwa, baada ya kikao hicho maamuzi yaliachwa kwa Mtendaji Mkuu wa chama ili kuandaa taarifa iweze kutumwa katika ngazi husika na kuwapatia barua madiwani hao.

Alisema hadi sasa ofisi yake haina taarifa za maandishi zilizotolewa na viongozi wa ngazi za juu kuhusu suala hilo.
1170864_639758279375880_481677068_n.jpg
 
Kimsingi, Nape anasema kwamba NEC -CCM Mkoa wa Kagera hawako kwa maslahi ya wananchi! Na kama ndivyo kwanini basi hao NEC Kagera nao wasiondolewe maana hawako kwa ajili ya wananchi kama Nape anavyosema?

NAPE haya ndiyo watu na watanzania wengi wamekuwa wakitaka lakini baadhi ya VIONGOZI Wetu wa CCM wamezoea kula bila kunawa na imekuwa mazoea hao viongozi kubadili masilahi yao kuwa matakwa ya CHAMA!!

ndio maana ninasikia huko KAGERA hao madiwani wananae wameweka maslahi ya nchi kwanza!! Cha ajabu vikao halali vya chama vinatumika KUHALALISHA WIZI KWA WIMBO WA MASLAHI YA CHAMA KUMBE NI YA WACHACHE!

HAKIKa kama utakuwaumeyatoa moyoni, MUNGU mkubwa unaanza kubadilika lakini isije ikawa ni BUKOBA tu!!!

HAKIKA CHADEMA IDUMU MILELE ILI CCM IPATE KUDALIKIKA KITABIA NA UKWELI NI KUWA KAMA TUNGEKUWA NA CHADEMA LEGELEGE KAMA CUF NCccr ET AL, CCM INGEWAFUKUZA HAO MADIWANI INDEFINETELY LAKINI MNAOGOPA KICHAPO CHA 8 KWA 0!!

IDUMU CHADEMA ILI TUWE NA CCM YENYE MASLAHI KWA TAIFA KWANZA NA CHAMA BAADAE NA MASLAHI BINFSI KUFA KABISA!
 
We jamaa bado haujaeleweka kabisa. Ambacho unaweza sema na nikakuelewa ni kwamba kwa sasa hakuna mtoa maamzi ndani ya CCM. Sisi wananchi tunaoyumbishwa na hawa akina Kagasheki na Amani kama chama mtatufidia vipi? Watu tumenyang'anywa viwanja tukapunjwa fidia, tumelipia viwanja vipya baada ya kutangazwa na sasa unapita karibia mwaka hela yetu imepotea huko hakuna kinachoendelea , leo unakuja na kudanganya watu eti unawapenda watu wa bukoba.

Ki ukweli kwa hili CCM mnatuonyesha jinsi gani maslahi ya chama yalivyombele ya maslahi ya wananchi. Hata mwenyekiti wako katokota hapa na kuongea kinafiki na kuondoka (yale yale kama ushauri aliompa Kagame usiotekelezeka ili ajioshe)

Wachacha sisi tupate hasara nyinyi mfanye siasa ila muda utasema tu.
Kumekuwa na mijadala kadhaa juu ya namna mambo yanavyokwenda ndani ya CCM hasa kufuatia sakata la madiwani na Meya wa Manispaa ya Bukoba. Kimsingi hali si tete kama inavyojaribu kuelezwa. Taratibu, kanuni, sheria na Katiba ya Chama kupitia vikao vitatumika kulimaliza swala hili kwa amani kabisa. Mwisho wa siku lazima wananchi wa Bukoba na Manispaa yao wapate haki yao ya msingi!

Nimewahi kusema siku nyingi kidogo kuwa NCHI KWANZA VYAMA BAADAE! Tafsiri rahisi hapa ni kuwa masilahi ya wananchi na nchi yao kwanza, masilahi ya Chama na itikadi zetu baadae!

Hivyo kwa kifupi kwa swala la Bukoba lazima masilahi ya wananchi wa Bukoba yatangulizwe mbele na yavuke ushabiki wa kiitikadi. Hatuwezi kupofushwa na mapenzi kwa vyama vyetu tukafumbia macho masilahi mapana ya wanachi wa Bukoba!

Hii haimaanishi sikipendi Chama changu bali ukweli ni kuwa naipenda sana CCM yangu lakini naipenda zaidi nchi yangu!
Mungu ibariki nchi yangu nzuri ya Tanzania
Mungu ibariki CCM iwahudumie vyema Watanzania!
 
Kumekuwa na mijadala kadhaa juu ya namna mambo yanavyokwenda ndani ya CCM hasa kufuatia sakata la madiwani na Meya wa Manispaa ya Bukoba. Kimsingi hali si tete kama inavyojaribu kuelezwa. Taratibu, kanuni, sheria na Katiba ya Chama kupitia vikao vitatumika kulimaliza swala hili kwa amani kabisa. Mwisho wa siku lazima wananchi wa Bukoba na Manispaa yao wapate haki yao ya msingi!

Nimewahi kusema siku nyingi kidogo kuwa NCHI KWANZA VYAMA BAADAE! Tafsiri rahisi hapa ni kuwa masilahi ya wananchi na nchi yao kwanza, masilahi ya Chama na itikadi zetu baadae!

Hivyo kwa kifupi kwa swala la Bukoba lazima masilahi ya wananchi wa Bukoba yatangulizwe mbele na yavuke ushabiki wa kiitikadi. Hatuwezi kupofushwa na mapenzi kwa vyama vyetu tukafumbia macho masilahi mapana ya wanachi wa Bukoba!

Hii haimaanishi sikipendi Chama changu bali ukweli ni kuwa naipenda sana CCM yangu lakini naipenda zaidi nchi yangu!
Mungu ibariki nchi yangu nzuri ya Tanzania
Mungu ibariki CCM iwahudumie vyema Watanzania!

Tafadhali CCM malizeni hili tatizo,halina tija kwa yeyote.hata sisi waandishi tunaanza kuwa attacked na wafuasi wa makundi haya.
kwa ufupi hapa bukoba hili suala linaanza kuvuka mipaka na kuingiza masuala ya udini,ubaguzi,kipato nk.
kila siku nasema 'mbuyu ulianza kama mchicha'.
kwa wanaojua chanzo cha mgogoro na CCM ya zamani wanajua kuwa hili suala linaweza kumaliza ndani ya dk 10 tu.
chonde chonde.

Byabato
 
Hakuna mtu mnafiki kama huyu.Maslahi ya nchi umeanza kuyajua lini?Yanayotokea kule bungeni kutetea ujinga ni maslahi ya wananchi?Nadhani kinachokutisha hapo ni kurudia uchaguzi tu.Hakuna jipya katika andiko lako.Jiangalie sana na unafiki wako.

Tatizo la Nape anaficha aibu ya kuvuliwa nguo na yule mama Mwenyekiti wa CCM mkoa, kwa hiyo kaja na kisingizio cha maslahi ya wananchi baada ya aibu aliyoipata. Tamko la yule mama linamuaibisha sana Nape, badala ya kulijibu kwa hoja anakuja huku na kusingizia maslahi ya wananchi. CCM kila kitu usanii...
 
..............................................................................................

................YANAYOTOKEA NDANI YA CHAMA CHENU NI MWANGWI WA UDHAIFU WA MWENYEKITI WAKO WA TAIFA!

Ni dhaifu kiasi kwamba hajui hata watu wa kuwateua/ kuwachagua kama wasaidizi wake!! Hebu fikiria, anamteua mtu kama mwigulu kama naibu katibu mkuu wa chama - taifa!!! what a shame!
Au mtu kama kinana mwenye tuhuma za siku nyingi za kuihujumu nchi!
 
Kumekuwa na mijadala kadhaa juu ya namna mambo yanavyokwenda ndani ya CCM hasa kufuatia sakata la madiwani na Meya wa Manispaa ya Bukoba. Kimsingi hali si tete kama inavyojaribu kuelezwa. Taratibu, kanuni, sheria na Katiba ya Chama kupitia vikao vitatumika kulimaliza swala hili kwa amani kabisa. Mwisho wa siku lazima wananchi wa Bukoba na Manispaa yao wapate haki yao ya msingi!

Nimewahi kusema siku nyingi kidogo kuwa NCHI KWANZA VYAMA BAADAE! Tafsiri rahisi hapa ni kuwa masilahi ya wananchi na nchi yao kwanza, masilahi ya Chama na itikadi zetu baadae!

Hivyo kwa kifupi kwa swala la Bukoba lazima masilahi ya wananchi wa Bukoba yatangulizwe mbele na yavuke ushabiki wa kiitikadi. Hatuwezi kupofushwa na mapenzi kwa vyama vyetu tukafumbia macho masilahi mapana ya wanachi wa Bukoba!

Hii haimaanishi sikipendi Chama changu bali ukweli ni kuwa naipenda sana CCM yangu lakini naipenda zaidi nchi yangu!
Mungu ibariki nchi yangu nzuri ya Tanzania
Mungu ibariki CCM iwahudumie vyema Watanzania!

Acha UNAFKI mbona tunaona mambo mengi yanafanyika yasiyonamanufaa kwa nchi kwa minajili ya kukandamiza vyama vingine, na wananchi kwa ujumla wake ukujitokeza adharani kusema neno hili MASLAHI YA NCHI KWANZA VYAMA BAADAE tusiwe wanafi huu ni kuogopa kupoteza hizi kata tu.
Ninavyo fahamu hawa madiwani walikuwa wanataka huyo Meya aondoke kwani ni fisadi na wewe ulikwenda huko na kushauri kuwa watoe majina yao ili kuepusha kutofautiana ulitakiwa kumwambia Meya ajiudhuru basi mambo yangekuwa shwari ona sasa kinachotokea kagera. Unataka kuniambia mkoa auna mamlaka ya kumfukuza diwani na kumvua uanachama au mnataka kuwaonyesha mwenyekiti wa mkoa na wajumbe wao hawajui kitu hapa mmelikoroga ngoja muone
 
DEEPGREEN, TANGOLD, MEREMETA, KAGODA, DOWANS/RICHMOND, MADAWA YA KULEVYA, MAUAJI YA MWANGOSI, MATESO YA DR ULIMBOKA, KIBANDA, KUBENEA. MAUAJI YA BOMU NA RISASI SOWETO ARUSHA nk. Haya ni kwa maslahi ya chama au wananchi?
Hakuna kazi ngumu kama kumtumikia shetani. Biblia takatifu inasema "...tokeni katikati yao mkatengwe nao"

Mbona haya ukuyasimamia na mapaka leo yanatutesa watanzania na taifa kwaujumla wake wacha unafki Nape
 
Kama Meya anatuhumiwa na imedhibitika ni kweli, maslahi ya wanachi na nchi ilikuwakutekelezwa kwa azimio la madiwani, na ikiwezekana meya afikishwe mahakaman na sheria ichukue mkondo wake, huwezi kuzungumzia maslahi ya nchi wakati sheria za nchi zinapindishwa ili kumlinda fisadi. Mwenyekiti wako tayari alishasaliti wananchi baada ya kusema meya na mbunge wakae wamalize tofauti zao, maana yake mhalifu asichukuliwe sheria, hakuna uzalendo wowote unaouzungumzia maana baba wa familia anaogopa kutenda matendo ya kizalendo na wewe mtoto unaogopa kumwambia ni kitu gani afanye cha kizalendo
 
Back
Top Bottom