Mgogoro wa kimaslahi wagubika ununuzi wa computer Mzumbe University chuo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgogoro wa kimaslahi wagubika ununuzi wa computer Mzumbe University chuo.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by yudda, Oct 16, 2012.

 1. y

  yudda New Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 16, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wajamani mimi ndi mtanzania ambaye nauchungu na money ambazo baba yangu analipa kodi. kuna habari za kuamininika kwamba ununuzi wa computer ndani ya chuo mzumbe umegubikwa na mabishano ya kimaslahi. kuna watu wawili ambao ndio chanzo cha mgogoro huu; mkuu wa kitengo cha matengenezo na mkurugenzi wa idara ya ICT.

  Mkuu wa kitengo ambaye pia ni mkaguzi wa kiufundi wa manununuzi ya chuo amezikataa kutokana na kupatikana na kugundua tatizo katika hilo. Mkurugenzi yeye baada ya kuwa ametembelea kwa kampuni husika anataka hizo computer ziletwe na kama kutakuwa na tatizo alaumiwe yeye.

  kitu ambacho ni chakushangaza katika chuo hiki ni kwamba, mkurugenzi wa ICT ndiye mkuu wa kamati ya uchunguzi katika manunuzi pia, ambapo mkuu wa idara ni mjumbe tu katika kamati hii. Najiuliza kama hii imekaa sawa. je huyu mtu atahojiwa na nani?

  Nawaomba wadau wafuatilie kwa undani jambo hili kwani kama kuna ukweli tusingependa pesa za walipa kodi zipotee eti kwasababu mtu anataka alaumiwe yeye. juzi tu watu wameliza magari ya walimu mzumbe... kunanini?

  Naomba wadau wa mzumbe mtupashe undani wa hili, kibasa, bakari, utoo, msabila, madembwe, nk.

  wana jf tusikubali
  kuliwa hapa. je ni kweli au longo longo?
   
 2. paul kitereja

  paul kitereja JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo wewe ulikuwa unataka wana jf tufANYAJE?
   
 3. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ni ufisadi kila mahali serikalini.
   
 4. WamLola

  WamLola JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 343
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  hatujui hilo kwani hatumo kwenye kamati ya manunuzi ya chuo:A S 465:
   
 5. y

  yudda New Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 16, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Updates, Ni computer 60 (@1,300,000/= ) ni kama mil 78,000,000/=
  1. Zimeingizwa na kuchanganywa computer leb bila hata kukaguliwa na kamati ya uchunguzi ya mzumbe.
  2. Cha kusikitisha mwenyekiti wa kamati ya uchunguzi ndiye mkurugenzi wa ICT-
  3. Baada ya kuingizwa leb wamezifunga naboxi na document kutolewa na kutupwa njiani kuelekea morogoro kulingana na mashahidi, nasikia wanalazimisha hata kama kamati ya uchunguzi ikikataa , ikosekane namna ya kuzirudisha kwani parking imeharibiwa.
  4. Kamati ya uchunguzi huenda ikagomewa kufanya kazi kama hili hawakuliweka sawa kwani haitakuwa na hadhi tena.

  Kama ufisadi ni kosa basi tulikemee wote popote na PCB wafanye kazi yao katika hiri.

  Yudda mnazareti
   
Loading...