Mgogoro wa Iran Vs Azerbaijan (Israel) Vs Armenia vita vitalipuka soon

You gotta love the Azerbaijani President!

Iran has been threatening Azerbaijan for having close ties with Israel and demanding to break these ties. What does the Azerbaijani President do in return? Takes a picture with an Israeli UAV.
IMG_20211011_113736.jpeg
 
Nimependa jinsi ulivyoelezea mkuu.
Binafsi naamini hakuna vita itakayoibuka kutokana na kwamba Iran tayari wapo macho na wanajulikana kuwa wanamiliki Nuclear.
 
Urusi hajawahi kuwa upande wa Israel maisha yake yote. Katika Vita vyovyote. Kama una ushahidi weka hapa
Mkuu uNA taarifa kwamba serikali ya Iran na Syria wamewahi kuhituhumu urusi kwamba wanapa wayahudi code za siraha toka urusi kitendo kinachosababisha Israel kutamba huko.
Una taarifa kwamba urusi kumejaa wayahudi wengi Sana Kwa asili ndo maana hata tajiri WA Chelsea ni myahudi na alishahamia Israel kama raia.
Otherwise KIla la kheri
 
Labda ishinde nanjaa
Ubishi mwingine bwana....uko zako mbagala ushashiba makande unakuja kubishana....ukweli uko Waz na mchungu siku Iran atakapothubutu kuanzisha bettle na Israel ndo unakuwa mwisho wa wavaa Madera iko hivyo kataa kubali Ila iko hivyo.....na wao Iran wanajua ndio maana wanakaa kwa kutulia kwa sababu wanajua kitakachowafika ....shwain wahed
 
Endelea kuota sababu hakuna siku ambayo IRAN ataanzisha vita na yeyote yule ulimwenguni hapa ila atakaeanzisha vita dhidi yake atajuta muulize marehem sadam Hussein
 
Back
Top Bottom