Mgogoro wa CUF ,nini hatma yake kwa Taufa?

Kaburi iliyoimeza NCCR mageuzi imefungua kinywa kukimeza chama hiki, baada ya Lipumba kupitia serikali kulazimisha mgogoro ambao haukuepo kabla. Na yote hii ni kwa sababu ya Zanzibar.
 
Hili suala ni very simple jamani wana jf..

Lipumba alishajiuzulu yeye mwenyewe hiari yake mwenyewe..

Yani huu mgogoro wa CUF ambao serikali ipo nyuma ya Lipumba ungekuwa unasaidia Taifa kama vile kusaidia kupatikana madawa hospital, upatikanaji wa maji, kuongeza Viwanda na kunyanyua pato la Mtz.. Aisee tungeufurahia kweli kweli na tusingeomba uishe.

Lakini serikali ndio inavuliwa nguo na kubaki utupu kabisa..

Shame.
 
Back
Top Bottom