Zanzibar-Nyamwezi
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,244
- 729
Juzi Wananchi wa Kisiwa kidogo chenye msimamo mkali usio wa kidini Tumbatu, wameupeleka pahala pengine mgogoro wao na watu toka Unguja, wameanza kuchoma boti za Waunguja Baharini, wanempiga marufuku mtu yeyote akiwemo mkuu wa Mkoa kaskazini kutua kisiwani. Serikali imeweza kuwazuia Waunguja waliokuwa wamejiandaa kivita wakiwa tayari kuvuka kutetea vyombo vya kuchomwa.
Swala hilo limemuumiza kichwa Rais wa Visiwa vyote, duru za watu juu zinasema kwamba Rais anaandaa tume kubwa kabisa ya usuluhishi.
UNGUJA VS PEMBA. Baadhi ya viongozi wakiwemo wajumbe wengi wa Baraza na Wawakilishi wameatika Serikali ipunguze uwepo wake Pemba kuokoa gharama kwa kisiwa ambacho kila siku kinabaki kitupu, Wabunge na Wawakilishi huko wanapigiwa kura 2000 tu kwa jimbo. Wamedai zaidi kuwa kama sivyo basi Pemba ijilipie gharama zake, kwa maana ya ijitenge ijiamulie.
Hii taarifa ni ya uhakika.