kweleakwelea
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 3,066
- 1,535
Hivi inaingia akili kwamba OBAMA anaweza kuruhusu CIA kuihujumu TANZANIA - kumbuka CIA sio a Govt within a Govt lazima ipate kibari kutoka kwa OBAMA katika operations zao zote bila kujali kama ni covert au overt!!
Watu wanasahau kwamba wakati OBAMA alipo ingia IKULU kwa mara ya kwanza alitaka kuwa na mazungumzo na Marais kutoka Africa - ni RAIS wawili tu walio karibishwa IKULU ya Merikani kutoka Africa, mmoja wao alikuwa ni Mh.Jakaya M. Kikwete na mwingine alitoka Africa magharibi (Ghana kama sikosei) sasa ukaribu wa administration ya OBAMA na Jakaya unawezaje kugeuzwa uhasama; mambo mengine tunapaswa kuyatafakali kwa kina kabla hatuja anza kuhukumu watu!!
Kitu kingine, hivi kweli mtu unaweza kulinganisha utajiri wa natural resources za Tanzania na MALAWI? ni kitu gani kikubwa sana kinacho weza kuwavutia Chevron kwenda Malawi kwa madhumuni ya kuchonganisha Tanzania na Malawi wakati hawajuhi prospects za mafuta ndani ya ziwa Nyasa ni za ukubwa gani i.e kuwa commercially exploited!
Kwa maoni yangu kampuni ya Chevron has a lot to gain from TANZANIAN vast natural resources than Malawi na hilo wanalijuwa SANA, kama nakumbuka vizuri niliwahi kusoma somewhere kwamba Chevron ilipewa vitaru vya kutafuta mafuta ndani ya TANZANIA. Mimi nafikili wakati mwingine tusiwe tunaonyesha kwamba tuko overly worried kwa mambo yanayo endela MALAWI, Tanzania sio a lame DUCK.
kwenye nyekundu. uhasama huu ulichochewa pale tanzania iliipozisaidia meli za mafuta za iran kupita baharini kwa kutumia bendera zake.........
wachilia mbali nia ya tanzania kutaka mashirikiano zaidi na irani....... mpaka kutamani kuimpa uranium ambayo ndio mzozo wake na wakubwa!