Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,300
Kukosolewa na mtu mwenye hila kama wewe sio sahihi. Kwanza taarifa jinsi ulivyo iweka hapa inaashilia nia yako mbaya. Wenyewe gazeti la mwananchi walioitoa hawakuikuza kama ulivyofanya wewe, halafu wewe umeiweka hapa kana kwamba wewe ndio uliyeifanyia uchunguzi! ritz, tunakufahamu wewe kuwa ni mlamba viatu vya ccm na hivyo huna lolote la maana kwa CHADEMA zaidi ya uchuro.Heshima kwako Mkuu Ngongo.
Tatizo Pro-Chadema JF hawataki kukosolewa hawajui kama ukitaka kusonga mbele lazima ukubali kukosolewa.