Mgogoro ghuba ya Uarabu, Iran yatupeleka meli ya kivita Oman

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,584
2,000
Iran is sending two warships to Oman before they start their mission in international waters near the coast of Yemen, the country's navy has said.

The Tasnim news agency reported that the two ships, an Alborz destroyer and a Bushehr logistics warship, will depart from the port city of Bandar Abbas on Sunday for an overseas mission to Oman and then on to international waters.

"An Iranian naval flotilla will depart to Oman on Sunday and then will go to the north of the Indian Ocean and Gulf of Aden," the agency quoted the navy as saying.

The Gulf of Aden, which lies between the Horn of Africa and the southern tip of the Arabian Peninsula, is a strategic shipping lane which connects the Indian ocean with the Red Sea and Suez Canal.

The move comes amid a crisis in the Gulf after Saudi Arabia, the United Arab Emirates, Bahrain and Egypt cut off ties with Qatar for allegedly supporting "extremism".

Qatar has vehemently denied the charges.

The Qatari government said it has been leading the region in attacking what it called the roots of "terrorism", including giving young people hope through jobs, educating hundreds of thousands of Syrian refugees and funding community programmes to challenge agendas of armed groups.

"Our position on countering terrorism is stronger than many of the signatories of the joint statement - a fact that has been conveniently ignored by the authors," the government said.

Source: News agencies
 
Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
14,234
2,000
Subiria uone, U.S, Israel watapiga hizo meli ziwe majivu nakuapia.. Just wait, Iran imejiletea yenyewe sasa ktk kifo, ujue Iran anaona U.S inatuma meli za kivita N. KOREA kutaka kumchapa N.K na yeye Iran eti anataka kumtisha Saudia.. Haaaaaaaaaa, watakatwa mapvmbv wawe hanithi, Mmanina nasubiri moto..
 
Nyamai

Member
Jun 12, 2017
54
125

Matusi ya nini tena bro .
 
mbongo_halisi

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
5,164

safi sana washughulikiane wenyewe kwa wenyewe, tumewachoka sie.
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,602
2,000
Mwache anajilengesha kijinga. Atafanyiwa kitu ambayo hatoisahau maishani.
Nilisema mapema majuzi kuwa Iran itaingia kichwa kichwa!
Sadam naye alijichanganya kwa aina hii hii kule kuwait.
 
Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,936
2,000
Kichwa cha habali nimekielewa, lakin maelezo mengine sijaelewa kabisa, kwan huwez japo tumia ile lugha yetu ya kolomije

Bas kama huwez tumia ile lugha ya kolomije ya kingosha boy, bas nipe tafsir kwa kifupi ili nami japo nipate kuchangia
 
green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
2,634
2,000
Subiria uone, U.S, Israel watapiga hizo meli ziwe majivu nakuapia.. Just wait, Iran imejiletea yenyewe sasa ktk kifo, ujue Iran anaona U.S inatuma meli za kivita N. KOREA kutaka kumchapa N.K na yeye Iran eti anataka kumtisha Saudia.. Haaaaaaaaaa, watakatwa mapvmbv wawe hanithi, Mmanina nasubiri moto..
Unaongea kwa hisia kama upo Pentagone kumbe unakula magimbi KWA MTOGOLE
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
13,915
2,000
Nilisema mapema majuzi kuwa Iran itaingia kichwa kichwa!
Sadam naye alijichanganya kwa aina hii hii kule kuwait.
Mkuu hiyo akili Iran aitoe wapi. Ni kama fisi porini huko simba akibakiza mzoga naye anajifanya mbabe wa kibudu. Kaingia kweli mzima mzima na mitumbwi yake.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom