Kwa ufupi eneo la Luchereri mwanza lipo kama km 8 kutoka mwanza mjini, km 3 kutoka stendi ya mabasi nyegezi na almost linapakana na chuo kikuu cha SAUT
Luchereri linazungukwa na ziwa victoria upande wa kas na mashariki,ni eneo linalofaa kwa uwekezaji wa hotel, bichi na the likes..kwa walio dar hili ni eneo kigeografia kama mbezi beach kwa dar
hii pia ni sahemu ambapo mh. RAIS alipewa zawadi ya kipande cha ardhi kutoka kwa wakazi wa mwanza
Kisiasa hili eneo lipo katika kata ya MKOLANI NA DIWANI WAKE NI MH. MABULA.huyu pia ndie MEYA WA NYAMAGANA au JIJI LA MWANZA
hili ni eneo lililofanyiwa usaili, upimaji na uthaminishaji wa ardhi kwa kila mmiliki wa ardhi..shida kubwa na mgogorto mkubwa ni kwamba viongozi hawataki KUMILIKISHA HII ARDHI KWA WALEGWA KWA KUTOA HATI..
na tetesi zilizopo ni kwamba eneo hili wanataka kuliuza kinyamela kwa wawekezaji wajenge Apartments, hotels na mengineyo mengi na kutuacha wenye ardhi bila kitu
Sasa wameanza na sheria ndogondogo kwamba kama tukimilikishwa ni kwamba haturuhusiwi kuwa na viwanja vya 15x30m2 zaidi ya viwili na vikizidi itabidi kila kiwanja kinachozidi ununue kwa sh 6000/ kwa m2 moja..sisi huku tulikuwa tunamashama itakuwaje wachukue ardhi yetu inayozidi kirahisi hivyo. kwa maisha yetuu hatuwezi nunua ardhi m2 moja 6000/
sasa kisiasa sahauni kupata kula wawakilishi wetu kwenye uchaguzi serikali za mitaa na uchaguzi mkuu bila kumaliza huu mgogoro
SISI WANAKIJIJI LUCHERERI KATA MKOLANI JIJINI MWANZA