Mgogoro ardhi LUCHERERI jijini Mwanza, CCM coming elections, ukimya wa TIBAIJUKA, NA MEYA MABULA

Kwa kifupi mgogoro huuu ni wa kisiasa kwani Mkurugenzialiyekuwepo aliwafukuza wasukuma kw akigezo cha kumpa mkuu wa kaya eneo lakujenga, so wasukuma kwa uoga wao(ntuhu tabu gete gete…) wakakimbilia sengeremana Kwimba, sasa baadhi wamerudi baada ya mvua kulegalega, sasa wamekuwa vibaruawa kufagia ROYAL RESORT (Hotel ya aliyekuwa mkurugenzi wa jiji la Mwanza)
Haikutosha - Masha naujanja wake wote hatukumpa ng'o! Mkolanitulimheshimu Mabula(CCM) kumbe naye ni mwiba, mwizi, asiye na fadhila kwawapiga kura wake….asiye na huruma kwa wasukuma wenzake. E.gKabwe amejimegea eneo si chini ya eka 5ziwani(0 distance from Lake) na kujijengea hoteli yake, wengine wameshanzaujenzi pia.

post zingine bana, kwa hiyo hao wasukuma wooote ndiyo wanafanya kazi ROYAL RESORT?!!! Huwa naona vijana na mabinti tu pale, hao ndiyo unasema walinyang'anywa ardhi?!!
 
acha uongo masha ndiye aliyeandaa mastaplan ya luchelele ikabaki ugawaji wa viwanja, matatizo ya luchelele yameanza wakati wa wenje, wenye jukumu la kuidhinisha viwanja ni madiwani ambao ni wa cdm wamekalia kula rushwa tu.

:A S-eek:.....jf ina mambo!!!
 
juzi juzi mwezi huu nilitembelea huko luchelele maana nilikua sijawahi kufika kwkweli ni mbali kias kama 15km from town maana pale nyegez kona ni 10km from town sawa na airpot. nyumba za maana hakuna washamba! ndio maana diwani wenu ni ccm
 
Ila watakaomchagu tena mabula ni kifo huyu meya ni tapeli ata nyumba anayokaa mkolani ni ya kijana anaitwa jack masamaki. Eti sasa anataka kua mgombea ubunge nyamagana atauweza sasa
 
Mkuu, niko hapa jijini natamani plot maeneo hayo ila hiyo migogoro ndo ilikuwa inanivunja steem. Kamanda, kama inawezekana naomba unimegee kidogo aisee kabla hao manyang'ao hawajawavamia.

Nina plot ya 20*30 anaehitaji anitafute
 
Back
Top Bottom