Mgodi wa North Mara "Tatizo ni Mkuu wa Wilaya"

Murrah

Senior Member
May 28, 2011
189
42
Matatizo yaliyopo katika mgodi huu kwa kiasi kikubwa yanasabisabishwa na mkuu wa willaya.
1. Kwa kushirikiana na Mbunge ( Kilaza) Kuamrisha wanaanchi kukubali matakwa ya magodi bila kunzigitia maslahi ya vijiji au taifa.
2. Kushirikiana na baadhi ya wafanyakazi wa mgodi kuvunja sheria za nchi, kama za manzigira umwagaji wa vifusi ovyo, maji machafu yanamwagika kila kona, uahamiaji watu wa toka nchi jirani anawapa vibali kufanya kazi nchini bila kufuata sheria na ajali anasaidia ukadamizaji kila kitu kinapelekwa kwake.
3. Kukubali kufanya kazi kama mwajiliwa mgodi, kushiriki vikao vya mgodi vya unyanyasaji wa wananchi, anatumia 50% ya muda kwenye mambo ya mgodi na watu wanaofanya kazi nchini bila vibali.

Huyu anafanya kazi ya nani ya Tanzania au Makaburu

Naomba kuwakilisha
 
Hivi unawezaje kusema yote hayo yanasababishwa na mtu mmoja? mi nadhani ni uzembe wa govt kufatilia utaratibu wa management ya mgodi. Anyway, labda wewe una updates ambazo hatuna, basi tuelekeze...
 
Migodi mingi nchini haitendi haki. Ila huo wa North Mara uko sehemu yenye vugu vugu lisilotaka kudhulumiwa, kwa hiyo ndo maana vurugu haziishi. Nenda Buli, nenda geita, nenda Nzega nenda Buzwagi its the same stori. HR wa kibongo ndo wapuuzi kupita, unakuta mzungu toka canada analipwa Milioni 40 kwa mwezi na hizo zinakuwa deposited moja kwa moja kwenye account yake, mbongo ambaye ndo anapiga kazi analipwa Milion 3 hadi 8. Jamaa wakitaka kumpandishia mshahara huyu mbongo, HR wakibongo full kubana ( ni stori ambayo rafiki yangu ndo yalikuwa yanamkuta hayo).
Cha msingi viongozi wetu wengi hawana uzalendo! wanatakiwa waweke viape mbele kwa wananchi! hawa jamaa wa migodi ukiwaweka sawa, unaweza kujikuta ndani ya miaka 5 una vyuo vikuu zaidi ya vitano full equiped kila kitu. Miundo mbinu safi, maji ya uhakika, umeme na watu wangepata wapi jeuri ya kufanya fujo. Lakini kwa vile viongozi wetu wanaingia kwenye siasa kwa nia ya kuibia wananchi na nchi haya yote ni ndoto.
 
Back
Top Bottom