Mgodi wa Buzwagi kufungwa mwisho wa mwaka huu 2017

Mr Hero

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
5,540
7,452
1484802450617.jpg
 
Waandishi wetu wanatakiwa sana kufanya uchunguzi wa hizi habari kabla ya kuziandika..

Mgodi wa Buzwagi unaweza kuendelea hata baada ya mwaka huu 2017 labda kuwe na sababu nyinginezo, tayari Mgodi unapanua shimo/pit kuanzia juu kitu ambacho kitaupelekea huu mgodi kwenda hata zaidi ya miaka 3 tena. Serikali inapaswa kuwa bega kwa bega na hawa wawekezaji ili kujua ni nini hasa kipo na kinaendelea na kuwawekea mazingira kiasi cha taifa kupata faida na wao wapate faida pia..
 
Asante sana Fisadi Lowasa, Karamagi, Rostamu Aziz &Co. tutawakumbuka daima kwa kutunyonya!

hayo yote waliyafanya wakiwa huko CCM na CCM mkabariki na mwisho waSIKU tukapiga sana kelele kwenye forum hii hii mkawatetea kwa kadili muwezavyo.. Leo hii tena mnakuja hapahapa kuwa sema huku CCM wakiwa na hela zote za nchi hii na vyombo vyote vya usalama vya nchi hii. Bado hatujachelewa baadala ya kulialia humu ni bora CCM ikaishinikiza serikali wakamatwe mara wapo mtaani huku..
 
Tangu lini white color criminal akakamatwa?
 
Mimi mtoto wa ndoa.wewe mtoto wa malaya huwa unapenda sana matusi kutukana viongozi wa upinzani fanya siasa bila matusi

Kuwa mtoto wa ndoa haimaanishi kwamba Mimba iliyokubeba haikuweza kutungiwa Gesti, hilo wewe huwezi jua, wewe shukuru Mungu tu unaishi basi!
 
Kuwa mtoto wa ndoa haimaanishi kwamba Mimba iliyokubeba haikuweza kutungiwa Gesti, hilo wewe huwezi jua, wewe shukuru Mungu tu unaishi basi!
Sasa fanya siasa bila kutukana hivyo vyeo mnavyovitafuta unaweza kupata bila kutukana waliokuzidi umri
 
Sasa fanya siasa bila kutukana hivyo vyeo mnavyovitafuta unaweza kupata bila kutukana waliokuzidi umri

Unaweza kunionyesha nilipokutukana? Mimi nimekujibu kwa jinsi ulivyonijibu, siyo zaidi wala pungufu ya hapo!!
 
Yuko yule mjaluo mwalimu aliyempa rafiki yake tenda ya kujenga choo cha shule kwa m 5. Choo kimejengwa lkn mwlm amepelekwa jela fasta. Hawa wa mabilioni wanapeta

Ndo hivyo, hao wa mabilioni wanaitwa white color criminals, ukiiba kuku unakula mvua lkn Lowasa na Genge lake wameifilisi hii nchi lkn wanadunda tu tena anataka kuwa Raisi wa nchi!
 
Back
Top Bottom