Mgodi wa Barrick wapigwa faini Tsh Bilioni 1 kwa uchafuzi wa mazingira

Hio pesa itatumika kusafisha walichochafua ? Au watu wanatia noti mfukoni na mkazi anaendelea kutia sumu tumboni ?
 
Kwani Barrick ndo wanafuga hao ng'ombe wanaokunya kinyesi ndani ya mto?. Na vipi wao ndo waliotesha majani yanayotoa mafuta?. Time imeweka bayana vyanzo vya uchafuzi ina maana NEMC hawakuilewa ripoti ya watu wa jalalani?. Ama kweli yasiyotokea popote hutokea Tanzania.
 
Back
Top Bottom