Mgodi wa Almasi Mwadui | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgodi wa Almasi Mwadui

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kichankuli, Feb 19, 2009.

 1. Kichankuli

  Kichankuli JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2009
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Wana JF, hivi ikiwa hawa makaburu wanasema hawajawahi kupata faida mika 15 na kwa hivyo hawalipi kodi, je kuna haja gani ya wao kuendelea kuwepo hapo kwenye mgodi? Si bora wangeondoka afu tukawaruhusu wanaapolo wakawa wanachimba ili walau kiasi ya mboga ipatikane??

  Kinachosikistisha na kushangaza zaidi ni pale Waziri Ngeleja anapotueleza kuwa Mwekezaji ndiye mwenye mamlaka ya kusema kuwa ataanza kupata faida lini na hivyo kumpa pia fursa ya kujipangia kulipa kodi. Tofauti na Mtanzania Mzawa ambaye pia ni Mtanganyika na mwenye mtaji mdogo anapoanzisha biashara yake hutakiwa kulipa kodi bila kujali kuwa atapata hasara au la. Kwani huyu yeye siyo mwekezaji? mbona tunasema kuna wawekezaji wa ndani na wa nje kwanini hawa wa ndani walipe kodi afu wa nje wasilipe kodi?
   
 2. Ngonalugali

  Ngonalugali JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2009
  Joined: Jan 12, 2008
  Messages: 658
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Kule hakuna wana-opollo kuna WAHABESHI.
  deBEERSwameshauza kwa Wacanada.
  Ule mgodi una mambo mengi, ukiwa mbali hausikiki lakini sogea Maganzo na uone unavyovuma. Lakini unategemea nini kwa wafanyakazi kutoa data ikiwa wanawezeshwa hadi mikopo ya mashangingi?

  Jamaa wanajua kuweka super glue kwenye midomo ya wazawa.
   
 3. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2016
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,604
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Huku nako JPM atembelee,ndio kwenye majipu sugu
   
Loading...