Mgodi kiwira:ni changa la macho-wizi mwingine huooo-wabunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgodi kiwira:ni changa la macho-wizi mwingine huooo-wabunge

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jul 25, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,080
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  Sikum moja baada ya serikali kutoa taarifa za uwekezaji tata wa mgodi wa makaa ya mawe huku ikionekana kuna utata kumbeba rais mstaafu benyamini william mkapa ambaye kampuni yake ya ANBEM ilitajwa kuwa na maslahi katika uwekezaji huo..mbunge mwandamizi wa ccm amepingana na tamko hilo huku akisema""""


  """"""""""KUNA WIZI MWINGINE UNAKUJA TUWENI MACHO"""""""""""""

  Katika tamko la juzi la waziri wa nishati na madini serikali iliahidi kuurejesha mgodi huo katika umiliki wake na kuwalipa waweezaji TANPOWERS RESOURCES GARAMA ZAO...huku pia ikidai kuwa ANBEM ambayo wanahisa wake ni MAFISADI mzee mkapa na mkewe..lakini wakati suala hilo likiwa limeibua mjadala nchini ...akizungumza na mwandishi wetu kutoka dodoma KIMARO MMOJA WA wabunge mashuhuri kwa kupinga ufisadi alisema seriklai haipaswi kuilipa hata senti moja waliokuwa wamiliki wa kuzalisha makaa ya mawe kiwira mkoani mbeya....kwani upo ushahidi hakuna uwekezaji wowote uliofanywa na baya zaidi hali waliokuta sasa hivi ni mbaya kuliko walivyoichukua...bastad huu ni wizi wa kisheni kabisa....
  Kimaro alisema ni ajabu kusema wawekezaji hao watalipwa wakati hali ya mgodi iko hivi..hakuna mabadiliko yoyote zaidi ya kuwachefua watu waliowaajiri...serikali yetu sijui kama ipo...we mgodi watu awajalipwa miezi kumi na moja wanadai zaidi ya sh BILLION 1.5 ati leo hii unawarudishia hela zao...uwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii namnukuu...
  HUO NI WIZI MWINGINE WANASEMA ETI WANATAKA KURUDISHA HELA WALIZOTUMIA KUWEKEZA KWANI KUNA UWEKEZAJI WOWOTE PALE???ALIHOJI...LAKINI NIMEFARIJIKA HATIMAE WAMESURRENDER NA KUAMUA KUUREJESHA MGODI HUO SERIKALINI...
  APRIL 21 MWAKA JANA MUDA WA SAA NN4 NA DK25 AKICHANGIA MUSWADA WA UMEME KIMARO ALITAJA HADHARANI KUWA RAIS MSTAAFU FISADI BENJAMINI WILLIAM MKAPA NA ALIEKUWA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI WASHTAKIWE.....KWA KULIINGIZIA TAIFA HASARA....
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,080
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  alisema licha ya kununua kwa bei chee miilion 70 walikuwa wameanza kufufua umeme ambao ulikuwa ukiuzwa kwa shirika la umeme tanesco na kulipwa sh miilion 146 kwa siku..kama malipo yatokanayo na mwekezaji wamitambo ya kuzalisha umeme...........
  kuhusu madai kwamba ANBEM ilishajitoa hisa zake kabla ya TANPOWER kutwaa mgodi huo kimaro alisema kwanza hawakuondoa hisa zao kama wanavyodai...ANBEM ni kama waliamua kuachana na biashara hiyo na kuachia hisa zao uko.....
   
Loading...