Mgimwa anaendeleaje?

Tafadhali naombeni taarifa sahihi kuhusu Mhe.huyu.
Huku mtaani kuna sintofahamu.
 
nafasi za kazi zinaongezeka au ? maana mpaka sasa zipo nafasi nne bado ya kijana wa mkulima iko hati hati. sasa nae huyu.
 
Duuh kama kapata taarifa ya wenzake wa~inne ataomba apigwe FULL CAPUUTI ili akija akute amepangiwa "WIZARA YA KUSOMA MAGAZETI" kama Mwandosya!
 
Back
Top Bottom