Mgessa Malongo: Toka DC Bagamoyo hadi RC Arusha kutekeleza azimio la Bagamoyo,Rais asitoke Kaskazini

Mama Mary Chatanda kamshindwa Millya mkuu wa kaya kaongeza nguvu ya mkuu wa mkoa sijui kama kijana atafurukuta ngoja tuone mwisho wa vita nani atakuwa mshindi lakini kuna kila dalili Laigwanani wa EA elowassa atadhibitiwa ingawa gharama zake zaweza kuwa kubwa.
 
Huyu Malongo alipata kuwa Meneja wa Bendi ya Vijana Jazz wan Pamabamoto na baa ya Mango Garden.....
Kha!!!!! umeniacha hoi. Kwa hiyo walikutana kwenye matamasha ya dance wakaahidiana ukuu wa Wilaya hadi Mkoa, now I can see, how the move is..... Hebu endeleakutujuza Mkuu. Kumbe ni mtindo uleule wa akina Vick Kamatha.
 
Mama Mary Chatanda kamshindwa Millya mkuu wa kaya kaongeza nguvu ya mkuu wa mkoa sijui kama kijana atafurukuta ngoja tuone mwisho wa vita nani atakuwa mshindi lakini kuna kila dalili Laigwanani wa EA elowassa atadhibitiwa ingawa gharama zake zaweza kuwa kubwa.
Tunasubiri kuona RZ1 anahamishia makazi yake pia ARUSHA.
 
Heshima kwako Phillemon Mikael.

Sioni faida ya hiki cheo cha mkuu wa mkoa katiba mpya inatakiwa iondoe hivi vyeo vya kigavana tungependa kuona katiba inayotoa nafasi za uongozi through sanduku la kura si kuteuana kama ilivyosasa.

Nakuunga mkono kwa hilo mkuu,

Kama hicho cheo kitakuwepo basi katiba mpya itengenezwe kwa kuhakikishwa ni cheo cha kuombwa kama kazi na kufanyiwa interview ya jopo la watu na kuona nani yupo fit kwa hicho cheo na lazima awajibike anya time akishindwa kutimiza wajibu wake.

Tuondoe mambo ya kuchaguana hapa
 
1. huyo Malongo ana nguvu gani ya kuzuia Rais? si dhani kama hoja yako ina nguvu hivyo unless unamfaham mtu fulani (Lowa.asa) na umeelekeza hoja yako huko. kaskazin ni kubwa ungetoa profile yote kuanzia Kilimanjaro nk.

2. Meya anaongoza Jiji sio mkoa na pia anachaguliwa na madiwani wa pale tu sio wa mkoa mzima (hivyo tofautisha). pia ujue Meya ni diwani wa kata fulani. labda upendekeza kuwa Mkuu wa mkoa achaguliwe.

3. hao akina Shirima, Tarimo na wengine wamestaafu (rejea maelezo ya awali), wale ambao hawajastaafu wameambiwa watapewa kazi nyiingine
nawasilisha

1) Hana nguvu ya kuzuia matakwa ya wananchi.....tunaelewa fika kuwa siasa za 2015 zinauwa nchi....,kuanzia Mbeya hadi Arusha...,tunaamini kuwa Huyu mkuu wa mkoa yupo Arusha kutekeleza yale yalioyoamuliwa kwenye kikao cha ccm-bagamoyo......maazimio yake sio siri kabisa....

2] Tunataka katiba mpya ifute hivi vyeo ...Meya anaweza kufanya hizi kazi vizuri za kisiasa...za kiutendaji mkurugenzi anatosha....

3]Tuwekee wapi iliandikwa kuwa wanapangiwa kazi nyingine........anayejulikana kuwa amestaafu kwa umri kwenye kundi hilo ni COL.TARIMO...,Huyu SHIRIMA ,OLE NJOLAY,na Mfuru ...ni majeruhi tu hao wa siasa za makundi na ukanda za serikali hii ....nimesahau ..wote hao wanatoka kaskazini..just discovered..anyway...wengine ambao pia ilitajwa wanaondoka kwa umri ni BABU MOHAMED,na Mwakipesile.....
 
Na muelewe kuwa kama....Mnataka kuchagulia watu viingozi ..basi kiongozi atatoka mbeya ,arusha au wote tutamuunga mkono Dr Magufuli...ambaye naye tunajuwa wazi kuwa JK hamtaki...tutampigia kampeni hadi atashinda.....muda wa kuongozwa na wasanii umeisha ...tunataka wachapa kazi....na kwenye hili hatuangalii anatoka wapi...Magufuli for 2015!!! YES!! UGALI MOTO MBOGA MOTO!!!!...............EMBE Project zeeeeee ziiii zii zaidi!!!
 
Ni yupi hapa manake toka kasikazini tuawasikia wafuatao:
  • Dr. Slaa
  • Mh. Edward Ngoiyayi Lowassa?
 
huyo shirima ni afadhali ameachwa tena ikiwezekana asipewe uongozi tena hafai na hawezi kuongoza.
Malongo ni mchapakazi ameweza kumaliza vita vya wasonjo na wamasai ngorongoro wakati shirima alishindwa, malongo anakemea vitendo vya kifisadi kwa vitendo na sio kwa mdomo tu kama babu lililochoka shirima.

na sasa nasikia anapitisha fagio la chuma kwa watumishi mafisadi wadogo kwenye manispaa ya arusha.......anasema hawezi fanya kazi na wezi... Nasikia anahamisha kwa kwenda mbele.........bravo bwana mdogo malongo.

Kuhusu kutumika kuzuia rais asitoke kaskazini mimi sijaelewa hata kidogo.......maana kama sisiemu haitatoa rais toka kaskazini basi chadema watatoa au cuf n.k ......
 
Umewasahau Sumaye na January Makamba.....[well under age]

Mkuu kumbe na hao pia?

Vipi kuhusu Mwita Mwikwabe Waitara wa CDM na Julius Mtatiro wa CUF wao hawataki ukuu?

Mwaka 2015 nchi yetu ikibaki salama basi itakuwa kazi ya mungu!!
 
hiyo inaitwa "Divide And Rule" aliitumia mkoloni.. Sioni haja ya Dc Au Mkuu wa Mkoa. Na kama ni lazima sana basi tuwachague kwa kura
 
Lile azimio maarufu la Bagamoyo la kuhakikisha Rais hatakaa atoke kasikazini[ref.riz],Azimio hilo lilifikiwa Bagomoyo kwenye mkutano wa CCM ,Mkoa wa Pwani...katika hali inayoonekana wazi ni utekelezaji wa Azimio hilo..Rais alimpandisha ...cheo mkuu wa wilaya ya Bagamoyo ,ndugu Malongo...,na kumfanya Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Katika kuonesha wazi kuwa bwana Malongo ameenda Arusha kufanya siasa...jana alisimamia maelekezo ya simu aliyopewa na Rizwan kuhakikisha kuwa ofisi ya umoja wa vijana mkoa wa Arusha inatiwa kufuli...na ilibidi anyanyuke ofisini kwenda kusimamia utekelezaji wa agizo la mwana wa mfalme.....,hasa ukizingatiwa kuwa alikuwa amemuudhi kwa kushindwa kuzuia umoja wa vijana kufungua matawi mkoani mwake..safari hii akaona bora aende mwenyewe kuhakiki.

Sasa wana wa Arusha ..wajiulize ..wana mkuu wa mkoa au kibaraka wa mwana mfalme..na mfalme mwenyewe??? mkoa mkubwa na wenye shughuli nyingi za kiuchumi kama Arusha unapewa mkuu wa mkoa wa kutekeleza mikakati ya kisiasa ya watu au kundi??thats amazing..
Wakati umefika sasa kwa wakazi wa mkoa huu kutafakari upya kama wanahitaji mkuu wa mkoa kama Mgessa Malongo..

Tunaomba wenye CV zake waaze kuzimwaga hapa.......ndio maana kila siku tunasema kuwa vyeo vya DC na RC vifutwe..tunataka mameya wawe na role ya mkuu wa mkoa.....meya atakayechaguliwa na madiwani wa mkoa mzima basi awe MEYA wa mkoa au gavana na dc awe ni meya au mwenyekiti wa halmashauri husika ..watendaji wa kuteuliwa toka kwa rais wabakie hao Wakurugenzi wa maendeleo wa mikoa au wilaya..inatosha ...

Hata uteuzi wa juzi wa wakuu wa mikoa umekuwa na agenda ya siri...kuna wakuu wa mikoa kama Daniel ole Njolay,Shirima na Col Enoc Muphuru wameondolewa tena hata bila ya kuambiwa sababu ...aliyeongelewa ni Hajjat Mrisho wa Pwani ambaye iliongelewa anapewa kazi nyingine......hawa wengine hatujaambiwa...chochote...
Tumeshoshwa na siasa......

SEMENI HAPANA.WAKUU WA MIKOA NA WAKUU WA WILAYA NI MZIGO KWA TAIFA!!!!!!
Haya ya kuepeleka viongozi sehemu tofauti na walikotoka,mwalimu alikuwa anafanya hayo kwa maana halisi ya kujenga taifa lenye umoja.

However maamuzi hayo yailisha anza kuwa missused.

Ile reshuffle ya wakuu wa mikoa,ukiangalia kiundani ni very strategic kwa wenye kuweza kuwasoma hawa watu.

Sidhani kama utaratibu huu una maana tena kwenye taifa linalonasukumiziwa chuki za udini na ukabila kutoka uongozi wa juu..Teuzi hizo zinaweza zikawa za kukomoana na uonevu!

Nani hajui kuwa kuna wafanyabiashara wanaonyanyaswa kwa kusapoti upinzani?Ndo itakuwa wananchi masikini wasiojiweza?Hao hawapewi haki.

Tulipige hili stop kwanza na katiba itumike kulifutilia mbali.Viongozi wakuu wa mikoa ni lazima wachaguliwe na wananchi na watokane na wananchi wenyewe,wawe ni wenye kujuwa shida za wananchi wenzao.

Na wawe viongozi ambaa wananchi wenzao wanaridhia kuwa watakuwa viongozi bora kwao.

Kwa kifupi haina maana kwa watu wa Arusha especially kama wanaongozwa na rais kutoka Bagamoyo na pia mkuu wa mkoa kutoka Bagamoyo.That aint fair at all,given all this politics of divisions.
 
Corrections to my last post.Sina uhakika kama ndg Malongo katokea Bagamoyo.Ila kwamba alikuwa mkuu wa wilaya ya Bagamoyo.

Hata hivyo bado msimamo wangu uko pale pale, kwamba mabadiliko sasa yanahitajika.

Hatuwezi kupangiwa viongozi na viongozi ambao wameshindwa kulihudumia Taifa kwa ujumla.

At least wananchi tuwe na sauti kwenye mambo ambayo yanatugusa moja kwa moja bila kusubiri bwana mkubwa wa magogoni ambaye hata hakai nchini, atuchagulie kama vile anajuwa matatizo yetu.

Kwanza hata umasikini wetu hajui umesababishwa na nini,matatizo yetu atayajulia wapi na wakati matatizo yetu ndiyo umasikini, ama kwa kiasi kikubwa yanatokana na umasikini?Aargh!
 
Mie nilifikiri hiyo kazi apewe Waziri Mkuu?

Sasa kama PM na MAWAZIRI wote wanateuliwa na RAIS, unataka mie Waziri nimuheshimu PM kwa sababu gani hasa?

SERIKALI na RAIS kwa Tanzania ni kitu kimoja. PM anatakiwa kupewa madaraka ya kuteuwa Mawaziri wake.

Akiboronda, siyo kumsubiri Kikwete yuko South Africa, analimwa barua na PM palepale.

Sasa mwaka 2015 akishinda Slaa kama Rais na CCM kama chama, Rais ndiye atangaze baraza la Mawaziri, kutoka chama gani?
Rais atateua baraza la mawaziri tu, hata hivyo idadi ya wizara itajwe kwenye katiba na sio haya mambo ya kuwa na wizara ya zisizokuwa na kichwa wala miguu. Tunataka wizara no more than 15.
 
na sasa nasikia anapitisha fagio la chuma kwa watumishi mafisadi wadogo kwenye manispaa ya arusha.......anasema hawezi fanya kazi na wezi... Nasikia anahamisha kwa kwenda mbele.........bravo bwana mdogo malongo.

Kuhusu kutumika kuzuia rais asitoke kaskazini mimi sijaelewa hata kidogo.......maana kama sisiemu haitatoa rais toka kaskazini basi chadema watatoa au cuf n.k ......

Nipe namba yake au email yake aje kufagia na huku ngorongoro kuna watu wamefanya ofisi ni za baba za
 
Vita ya farasi anayeumia ni nyasi,subiri uone jinsi chama chetu kitakavyosambaratika hata 2015 ina uwezekano isifike,LAKINI FAIDA KWA ,,,,,,,,,,..................C...................D...........................................????????????????.NIMENUSA KUNA WATAKAOIKIMBIA NCHI KABLA YA 2015 siyo kwa uhaini ila kwa tamaa ya .....................jazia mwenyewe.kama mkuuu hatatoka kask. kwa chama chetu basi hata kwa upinzani poa tuuuuuu,ila au basi asitoke zenj hasa pemba.:embarassed2:
 
Sitaki kuamini maneno yako. Ila kama ni kweli ndio kazi aliyotumwa Arusha. basi ule mji utanshinda. Watu kule wapo realistic sana, hawapendi siasa za JK za kulipiza visasi na kuviziana! itakula kwake
 
Lile azimio maarufu la Bagamoyo la kuhakikisha Rais hatakaa atoke kasikazini[ref.riz],Azimio hilo lilifikiwa Bagomoyo kwenye mkutano wa CCM ,Mkoa wa Pwani...katika hali inayoonekana wazi ni utekelezaji wa Azimio hilo..Rais alimpandisha ...cheo mkuu wa wilaya ya Bagamoyo ,ndugu Malongo...,na kumfanya Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Katika kuonesha wazi kuwa bwana Malongo ameenda Arusha kufanya siasa...jana alisimamia maelekezo ya simu aliyopewa na Rizwan kuhakikisha kuwa ofisi ya umoja wa vijana mkoa wa Arusha inatiwa kufuli...na ilibidi anyanyuke ofisini kwenda kusimamia utekelezaji wa agizo la mwana wa mfalme.....,hasa ukizingatiwa kuwa alikuwa amemuudhi kwa kushindwa kuzuia umoja wa vijana kufungua matawi mkoani mwake..safari hii akaona bora aende mwenyewe kuhakiki.

Sasa wana wa Arusha ..wajiulize ..wana mkuu wa mkoa au kibaraka wa mwana mfalme..na mfalme mwenyewe??? mkoa mkubwa na wenye shughuli nyingi za kiuchumi kama Arusha unapewa mkuu wa mkoa wa kutekeleza mikakati ya kisiasa ya watu au kundi??thats amazing..
Wakati umefika sasa kwa wakazi wa mkoa huu kutafakari upya kama wanahitaji mkuu wa mkoa kama Mgessa Malongo..

Tunaomba wenye CV zake waaze kuzimwaga hapa.......ndio maana kila siku tunasema kuwa vyeo vya DC na RC vifutwe..tunataka mameya wawe na role ya mkuu wa mkoa.....meya atakayechaguliwa na madiwani wa mkoa mzima basi awe MEYA wa mkoa au gavana na dc awe ni meya au mwenyekiti wa halmashauri husika ..watendaji wa kuteuliwa toka kwa rais wabakie hao Wakurugenzi wa maendeleo wa mikoa au wilaya..inatosha ...

Hata uteuzi wa juzi wa wakuu wa mikoa umekuwa na agenda ya siri...kuna wakuu wa mikoa kama Daniel ole Njolay,Shirima na Col Enoc Muphuru wameondolewa tena hata bila ya kuambiwa sababu ...aliyeongelewa ni Hajjat Mrisho wa Pwani ambaye iliongelewa anapewa kazi nyingine......hawa wengine hatujaambiwa...chochote...
Tumeshoshwa na siasa......

SEMENI HAPANA.WAKUU WA MIKOA NA WAKUU WA WILAYA NI MZIGO KWA TAIFA!!!!!!

Kaka kama anawadhibiti watu wa CCM Arusha kuna shida gani? Sisi rais wetu ajaye mbona yuko huku Dar mjii mkuu wa uchumi nchini akifanya kazi zake nchi nzima kama katibu mkuu. Ama wewe hujagundua bado power hand is changed? Mimi naona aongeze na kufuli zingine juu ya alizoziweka kwenye kaburi lao hilo la CCM Arachuga ili wafu wa huko hata kama walizikwa wakiwa na pumzi ya mbali wasizinduke kabisa; acha wafu wazike wafu wao!
 
Lile azimio maarufu la Bagamoyo la kuhakikisha Rais hatakaa atoke kasikazini[ref.riz],Azimio hilo lilifikiwa Bagomoyo kwenye mkutano wa CCM ,Mkoa wa Pwani...katika hali inayoonekana wazi ni utekelezaji wa Azimio hilo..Rais alimpandisha ...cheo mkuu wa wilaya ya Bagamoyo ,ndugu Malongo...,na kumfanya Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Katika kuonesha wazi kuwa bwana Malongo ameenda Arusha kufanya siasa...jana alisimamia maelekezo ya simu aliyopewa na Rizwan kuhakikisha kuwa ofisi ya umoja wa vijana mkoa wa Arusha inatiwa kufuli...na ilibidi anyanyuke ofisini kwenda kusimamia utekelezaji wa agizo la mwana wa mfalme.....,hasa ukizingatiwa kuwa alikuwa amemuudhi kwa kushindwa kuzuia umoja wa vijana kufungua matawi mkoani mwake..safari hii akaona bora aende mwenyewe kuhakiki.

Sasa wana wa Arusha ..wajiulize ..wana mkuu wa mkoa au kibaraka wa mwana mfalme..na mfalme mwenyewe??? mkoa mkubwa na wenye shughuli nyingi za kiuchumi kama Arusha unapewa mkuu wa mkoa wa kutekeleza mikakati ya kisiasa ya watu au kundi??thats amazing..
Wakati umefika sasa kwa wakazi wa mkoa huu kutafakari upya kama wanahitaji mkuu wa mkoa kama Mgessa Malongo..

Tunaomba wenye CV zake waaze kuzimwaga hapa.......ndio maana kila siku tunasema kuwa vyeo vya DC na RC vifutwe..tunataka mameya wawe na role ya mkuu wa mkoa.....meya atakayechaguliwa na madiwani wa mkoa mzima basi awe MEYA wa mkoa au gavana na dc awe ni meya au mwenyekiti wa halmashauri husika ..watendaji wa kuteuliwa toka kwa rais wabakie hao Wakurugenzi wa maendeleo wa mikoa au wilaya..inatosha ...

Hata uteuzi wa juzi wa wakuu wa mikoa umekuwa na agenda ya siri...kuna wakuu wa mikoa kama Daniel ole Njolay,Shirima na Col Enoc Muphuru wameondolewa tena hata bila ya kuambiwa sababu ...aliyeongelewa ni Hajjat Mrisho wa Pwani ambaye iliongelewa anapewa kazi nyingine......hawa wengine hatujaambiwa...chochote...
Tumeshoshwa na siasa......

SEMENI HAPANA.WAKUU WA MIKOA NA WAKUU WA WILAYA NI MZIGO KWA TAIFA!!!!!!
Du hii kali
Mkuu si ungepanga safu yako tuione hadharani?
 
Back
Top Bottom