Mgeni

Habari Wanajukwaa
Naomba Ushirikiano Wenu
Mimi Ni Mgeni Humu Ndani
Karibu sana, naomba ujitambulishe kwa
-Kutaja jina lako sahihi
-Kuweka picha yako sahihi
-Kuweka namba yako ya simu
-Kutaja umri wako
-Kutaja mahali unapoishi

Hizo data zitaingizwa kwenye mfumo na kukuwezesha kuwa salama ukiwa humu jukwaani.
 
Karibu sana, naomba ujitambulishe kwa
-Kutaja jina lako sahihi
-Kuweka picha yako sahihi
-Kuweka namba yako ya simu
-Kutaja umri wako
-Kutaja mahali unapoishi

Hizo data zitaingizwa kwenye mfumo na kukuwezesha kiwa salama ukiwa humu jukwaani.
Sawa Mkuu
 
Unataka ushirikiano gani? Sisi humu tunashirikiana kwenye kuchangia na kuanzisha nyuzi tu. Mambo mengine huwa hatushirikiani.

Karibu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom