Troublemaker JF-Expert Member Jun 8, 2015 19,881 38,507 Oct 17, 2019 #3 assaniz said: habari zenu jamani #tunaweza kufahamiana Click to expand... Sawa picha yako iko wapi sasa? Au tunafahamiana vipi? Kuna faida gani tutanufaika kwa uwepo wako hapa Jf.
assaniz said: habari zenu jamani #tunaweza kufahamiana Click to expand... Sawa picha yako iko wapi sasa? Au tunafahamiana vipi? Kuna faida gani tutanufaika kwa uwepo wako hapa Jf.
ngebo JF-Expert Member Sep 8, 2017 1,679 2,105 Oct 17, 2019 #4 tuma pics za dada yako kwanza tuone ka una vigezo vya kuwa huku
bbc JF-Expert Member Jan 18, 2016 3,841 4,145 Oct 17, 2019 #5 assaniz said: habari zenu jamani #tunaweza kufahamiana Click to expand... Karibu. Ikibidi tutafahamiana
assaniz said: habari zenu jamani #tunaweza kufahamiana Click to expand... Karibu. Ikibidi tutafahamiana
Diason David JF-Expert Member Aug 2, 2018 7,562 7,348 Oct 17, 2019 #7 Tufahamiane ili iweje kwanza umeshajiandikisha kwenye daftari la wapiga kura?
U Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 29,038 10,685 Oct 18, 2019 #8 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidipo.
Tate Mkuu JF-Expert Member Jan 24, 2019 28,353 81,760 Oct 18, 2019 #9 Karibu sana JF. Mambo ya kufahamiana hayapo humu.
wa stendi JF-Expert Member Jul 7, 2016 24,688 26,796 Oct 18, 2019 #10 Wee unataka kumfahamu nani humu.. Kwanza ushajiandikisha? assaniz said: habari zenu jamani #tunaweza kufahamiana Click to expand...
Wee unataka kumfahamu nani humu.. Kwanza ushajiandikisha? assaniz said: habari zenu jamani #tunaweza kufahamiana Click to expand...
stephot JF-Expert Member Mar 1, 2012 15,826 22,935 Oct 18, 2019 #11 Mwifwa kuna mgeni kaingia humu mkaribishe...