Mgeni mwenyeji!

directortmk

Member
Oct 19, 2011
35
33
Habari za hapa JF mabibi na mabwana..mimi ni mgeni niliyefika hapa miaka mingi iliyopita pasipo kujitambulisha (Mlowezi), naomba kibali niendelee kuishi hapa kwa sababu nimepaelewa sana.
 
Asante mkuu, nilikuwepo kama mtembeleaji tu na sasa nimeona ni wakati muafaka wa kupiga hodi
Pole sana kwa kupotelewa na vitendea kazi vya hapa jukwaani.

Umepambana sana kurejea baada ya miaka 7 na miezi kadhaa.

Karibu sana mgeni mwenyeji
 
Pole sana kwa kupotelewa na vitendea kazi vya hapa jukwaani.

Umepambana sana kurejea baada ya miaka 7 na miezi kadhaa.

Karibu sana mgeni mwenyeji
Hahaaa...mkuu, ilikuwa ni vuta nikuvute mpaka kukamilisha set ya vitendea kazi vya humu jukwaani!
Asante kwa ukaribisho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom