Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,166
- 3,827
Nawasalimu wakuu,mimi ni mgeni mpya
Usituenjoy wewe ni mhenga! Neno "wakuu" halijakutoka kwa bahati mbaya
Usituenjoy wewe ni mhenga! Neno "wakuu" halijakutoka kwa bahati mbaya
HahahahahahahahUsituenjoy wewe ni mhenga! Neno "wakuu" halijakutoka kwa bahati mbaya
Hapana mkuu mimi mgeni humu,hili Neno hwa naona likitumika mara kwa maraUsituenjoy wewe ni mhenga! Neno "wakuu" halijakutoka kwa bahati mbaya
Picha ni hiyo hapo kwenye Avatar au ni picha ipi mkuumbona siioni ushakuwa jeuri mara hii bado mgeni unaijuwa burn?
Mpaka Avatar unaijuaa...kwendaaaPicha ni hiyo hapo kwenye Avatar au ni picha ipi mkuu
Kuwa na amani mkuuHapana mkuu mimi mgeni humu,hili Neno hwa naona likitumika mara kwa mara
Sawa Mkuu nashukuruKuwa na amani mkuu
Asante sanaKaribu sana JF mjukuu wetu GT.
Nimeshakaribia mkuu najivunia.kuwa mwanafamilia wa JFKaribu sana JF mjukuu wetu GT.
karibu namii ni mgeni