CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,422
Bwana Mgaya umeshindwa kuwasaidia wafanyakazi for all these years eti leo unatetea utumbuaji. Shida ya wafanyakazi si utumbuaji ni mishahara midogo na PAYEE kubwa. Umekaa TUCTA hujafanikisha lolote la maana kwa wafanyakazi, leo unajitia ufahamu wa utumbuaji. Shame on you! You must step down!