Mgaya wa tucta amfunika jk kwenye siku kuu ya walimu songea. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgaya wa tucta amfunika jk kwenye siku kuu ya walimu songea.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by TUNTEMEKE, Oct 6, 2010.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2010
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Jamani Jk jana alikutana uso kwa uso na raisi wa vyama vya wafanyakazi mbwana Mgaya.kitika muda wa kutambulishwa wageni walitambulishwa wengi lakini hakuna aliyopigiwa makofi au kushangiliwa mbwembwe na walimu,lakini mtambulishaji wageni alivyomwambia raisi lakini pia tunaye ndugu yetu bwana Mgaya nadhani unamfahamu sana huyu bwana..walimu wote walimshangilia kwa shangwe na haieleweki kwa nini walimshangilia sana Mgaya kuliko hata jk.kwa kifupi sherehe haikuwa yenye kuvutia sana kwa kuwa walimu wengi waliojitokeza walikuwa wanyonge tena hata kupiga makofi kwa muheshimiwa rais walikuwa mpaka wahimizwe na mc.na wengine walidhubutu kutoka hata kabda ya hutuba ya rais na wengine walikuwa wakitoka wakati rais akiendelea kuhutubia.da kuna kijana mmoja alikatiza mbele ya viongoz wa ccm wa mkoa akiuza machungwa wakamuita na kutaka kununua machungwa lakini walivyomuona shingon kavaa lebo ya dr slaa wakaacha kununua na yule kijana akawambia acheni mbona nanyi mumevaa nguo za ccm?huyu kijana alishangiliwa sana na watu.Nchimbi alitaka kuingia uwanjani na gar lake lenye picha za kampeni alizuiwa na kuamua kwenda kubadilisha gari,gari la TOT nalo na lilitolewa uwanjani kwasababu ya mabango yake ya ccm.
   
 2. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 631
  Trophy Points: 280
  Wembe ulee!! wembe ni ule ule ushindiii Ushindii!! SLAA JUU.
  25 days to go!!!!
  Bye bye Mr. Kikwete. Nchi hii sio kichwa cha mwenda wazimu ndio ujifunzie Uongozi!!
   
 3. B

  BRIA Senior Member

  #3
  Oct 6, 2010
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 60
  Jakaya akasemaje tujuvi?nadhani hiyo ndo issue dondoa kidogo....Slaa for Magogoni(Aka Ikulu ya Dar-es-Salaam
   
 4. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #4
  Oct 6, 2010
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  kweli mkwere sasa anakula jeuri yake.
  Hili la kikwete kuondoka madarakani oktoba mwaka huu litakuwa fundisho kwa mafisadi wengine waliojipa hatimiliki ya hii nchi.
  Kwaheri kikwete.
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  So far mambo ni mazuri
   
 6. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Kauli mbiu ilikuwa "mwalimu bora kwa elimu bora" sasa JK amesemaje kuhusu mchango wake kwenye ubora wao kwa miaka yake mitano na ya CCM madarakani kwa ujumla?
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Hahahaha nimefurahi sana, walimu wana nyanyasika saaaaaaaaaaaaana tuu. wakipiga kura against Mkwere dah tunaingia ikulu km tunaliaaaaaaaaaaaaa. VOTE FOR CHADEMA
   
 8. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Hivi kweli hakujisikia vibaya, hao hao waalimu aliwaambia hata waandamane miaka 8 watajibeba. leo anaenda kwenye sikukuu yao... Kweli binadamu tuna mambo...
   
 9. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2010
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Huyu Mkwere hana aibu, inakuwaje unawatukana watu halafu unaenda kusimama mbele yao bila haya na kuanza kuwadanganya, lakini aibu yake aibu yao, aibu yake mkwere mwenyewe. Walimu msidanganyike tena, vinginevyo msiendelee kulialia baada ya hapa.
   
Loading...