MGAYA,UPO,WAPI?.Tunakusuburi utoe kauli na sisi tuanze mgomo,hali mbaya!!! maisha, magumu!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MGAYA,UPO,WAPI?.Tunakusuburi utoe kauli na sisi tuanze mgomo,hali mbaya!!! maisha, magumu!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sumasuma, Feb 7, 2012.

 1. sumasuma

  sumasuma JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jamani,namuomba,Bwana,Mgaya,Atoe,kauli,juu.ya,wafanyakazi,maisha,magumu,kipato,kidogo,Basic,salary,lya,100,500/=,bado,haitoshi!!!Mbona,Mbona,wenyewe,wanalipana,kipato,kikubwa,sehemu,kubwa,ya,ardhi,wanamiliki,wao,jaman.namuomba,MGAYA,ATOE.KAULI!!!nawakilisha!!:yawn::yawn:
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Toa wewe hiyo kauli sisi tutaitikia, siyo lazima aitoe Mgaya. Kwani wewe ndiyo unayeathirika na hali ngumu ya maisha na siyo Mgaya.
   
 3. sumasuma

  sumasuma JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mgaya,ndio,mwenyekiti,wetu,yeye,akichemka.Tunaingia,Front.wenyewe,tusikurupuke,kwanza,Tufuate,protocol!!
   
 4. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  walishatengenezwa hao
   
 5. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,499
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Sasa andika yenyewe hata spacing hakuna halafu unataka mshara wa 1,000,000?? Si msha ambiwa serikali haina pesa?? Mgomo wa madaktari unatosha kupeleka messege kwa wabunge na posho zao na hivyo hakuna haja ya kuwa na total shut down ya serikali nzima!!
   
Loading...