Mgaya awauza walimu, atangaza mgomo alafu akimbia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgaya awauza walimu, atangaza mgomo alafu akimbia

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mwanaharakatihuru, Aug 3, 2012.

 1. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mgaya ametangaza maandamano na kukimbia kipindi wafanyakazi wanahitaji muongozo kwa dhati. Mgaya umetia aibu kuu jitokeze ama ukanushe au utoe muongozo
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...hahahaaaaaa...Mgaya!! Labda aliropoka tu pasi na kujua anazungumza nini.
   
 3. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Mgaya na Mukoba wote sawa. Ukombozi wetu upo 2015 kama kweli tunataka kupona mateso haya.
   
 4. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mgaya alishanunuliwa ka Zitto
  wote ni walewale,
   
 5. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mukoba na Mgaya hatujafikia hatua ya kuwalinganisha. Kipindi hiki Mukoba kaamua.
   
 6. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mgaya amekumbuka kale kausemi AKILI YAKUAMBIWA CHANGANYA NA YAKWAKO.Mgaya yuleeeeeeeeeeee
   
 7. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Labda tishio la Dr Uli
   
 8. W

  Wajad JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,130
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Huyo jamaa si alipongeza polisi kumkamata mkenya kuwa ndiye mtesi wa dr.Uli. Was he serious kweli?
   
 9. R

  Remmy kihiyo Member

  #9
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwaa maoni yangu porojo zimezidi kwa viongozo "Mapinduzi ya kweli yataletwa na wanaharakati wazalendo aluta continua"
   
Loading...