Mgawo wa umeme waja kwa ari nguvu na kasi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgawo wa umeme waja kwa ari nguvu na kasi.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Slave, May 12, 2011.

 1. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Kuna kipindi kinaendelea hivi sasa ITV malumbano ya hoja. Mada iliyopo ni je matatizo ya umeme tanzania yatamalizwa kwa hatua za dharura? Binasfi najiuliza kama kweli nchi yetu inategemea umeme kutokana na vyanzo vya maji nchini. Kwanini serikali imeshindwa kuvuta maji toka baharini/ziwani ili tuweze kuepuka janga hili?
   
 2. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #2
  May 13, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Wabongolala wagumu kuelewa. Si umesikia viongozi wetu wapendwa wanasisitizaskila mtu aishi kwa jasho lake? Maana yake kila mtu ajitafutie umeme wake kivvyake wao wameshindwa.
   
Loading...