Mgawo wa umeme ni dalili ya nini

Kisendi

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
699
178
Nafikiri huu mgawo ni wamakusudi, uchaguzi umekaa miezi mitatu bila mgawo?? SASA mgawo ni deal la watu wachache kama watz hatutabadilika, Kwa kweli bora uzamie ulaya ukawe mfagiaji. Utapunguza mawazo kila kukicha mara foleni, maji hakuna, nyumba bora za mafisadi tu?? Mishahara BOT, TRA na WABUNGE PLUS MAWAZIRI. Madaktari shida tu, walimu ndo wana hali mbaya, polisi ndo hali mbaya kabisa na mahospitalini hakuna dawa nenda pharmacy, Je kodi yako uliyokatwa 100000 imetumika wapi huna maji huna umeme huna dawa huna barabara huna huduma za kijamii kuwa chini kama gas, mafuta etc?? Kweli Tz ya leo tunadhamini kuvaa kijani, kuwa na mashangng, honi za wakubwa barabarani, mikutano, semina n.k Je wewe kama kiongozi unaguswa na hili, Kama kiongozi unaishi nyumba ya serikali full AC, umeme 24hrs, mshahara mkubwa kama fisadi tu, posho za kufa mtu, maji bure, matibabu nje, furniture bure harafu walala hoi umeme mgao mpaka usiku tu tena masaa 7, maji ni ya kununua tena dumu 300 etc
 
Eeh KiSEND,
Unasema kodi yangu inatumika kusomeshea watoto wa mawaziri Oxford na mtoto anasomeshwa shule ya Kata OOOOOOOOOOOOOOGgggOSH I Am Confusd:A S-confused1:
 
inauma sana, mbona wakati wa kampeni hawakukata umeme?
 
Wakati wa kampeni gharama zilikuwa juu sana kwa hiyo muda huu ndo wa kuslow down jamani, kampeni zimekwisha!
 
Back
Top Bottom