Mgawo wa umeme na siasa za visingizio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgawo wa umeme na siasa za visingizio

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JF mteule, May 24, 2011.

 1. J

  JF mteule Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani sasa tumeshachoka, kila wakati tunapata mgawo wa umeme halafu wahusika hawakosi visingizio mara maji yamepungua mara mitambo inatengenezwa, kwani watanzania tuna laana au? kwanini wasiwapishe wanaoweza kuongoza hizi taasisi washike nafasi, hili giza SASA NI TOO MUCH!
   
Loading...