Mo graphics 2019
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,002
- 1,453
Heshima kwenu wadau wa JF.
Mgawanyo wa fedha kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza 2021/2022 ni kilio kitupu kwa walio wengi.
Imagine mtu analipiwa 256,000|= Out ya 1263,000|= tafsiri yake hapo anatakiwa aongeze kama 1m hivi.
Sasa je ni wangapi wata mudu kujiongezea hizo pesa ili waweze kusoma? Naskia falsafa ya mwaka huu n kila mtu apate mgao hta kama n kidg kiasi gani.
Mbaya zaid wamechelewesha kutoa mgawanyo kwa wanafunzi hata mzazi anashindwa kujipanga mapema kutafta hela ili amlipie mwanawe.
Naona wanafunzi wengi watashindwa kulipoti Vyuoni kwa sababu ya michinjo ya loan board.
Kama una mwanao ni first year jipange mapema kumsupport maana n zaidi ya 50% ya wanafunzi wamepangia chini ya 50% ya tuition fee.
Kazi iendelee.