Mgawanyo wa ajira

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
841
175
Hivi katika zama hizi za utandawazi kuna mtu anaweza kusema kazi fulani ni kwaajili ya wanawake tu na nyingine ni kwaajili ya wanaume tu.

Binafsi, sioni tofauti ya kazi zinazofanya na wanaume na zile zinazofanywa na wanawake. Wote tunafanya kazi bila kujali jinsia, na hapa ndipo ninapotaka kufahamu, ni kweli kunamgawanyo wa kazi kwa kuangalia jinsia za watu?
 
Back
Top Bottom