mgao wa umeme umesababisha baadhi ya maeneo kuwa gharama zaidi kupanga nyumba! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mgao wa umeme umesababisha baadhi ya maeneo kuwa gharama zaidi kupanga nyumba!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by binti ashura, Feb 14, 2011.

 1. b

  binti ashura Senior Member

  #1
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kwa mitaa kama ya chuo cha usimamizi wa fedha dsm, boma road morogoro (kuelekea kwa mkuu wa mkoa), isanga mbeya na maeneo ya jirani ambayo huwa hayakumbwi na maumivu ya mgao wa umeme yamekuwa yakiuzwa au vyumba katika maeneo hayo kupangishwa kwa bei kubwa kwasababu kuna umeme wa uhakika. je kwasasa ni wakati muafaka kuhamisha hamisha ikulu ili sehemu zote zinufaike umeme kwa awamu?
   
Loading...