Mgao wa umeme TZ.

TEGEMEA

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
369
56
Mgao wa umeme waja kwasababu bwawa la mtera haliwezi kujaa maji msimu huu mvua chache sana zimenyesha nyanda za juu kusini.
 
Mh! haya ni matatizo ya kutegemea umeme kwa technologia ya mwaka 47 tuna vyanzo mbadala vingi tatizo ubinafsi kwani kwa nchi hii WATZ wengi wanapopata matatizo wachache unufaika.
 
Back
Top Bottom