Yakija maandamano ya kumng'oa ngeleja, mimi jiwe ntakuwa wa kwanza, kwa upuzi wake wa kuleta mgao wa umeme, fal a huyu kanipa umaskini kwan tayari nimecloseup my cafe and stationery, tuhimize maandamano ya kumtoa huyu kungun na faras mkubwa.Tanzania tumepata pigo baada ya kiwanda cha san flag cha mjini Arusha kuamua kupunguza wafanyakazi 3,000, hii ni baada ya kuwa wanapata umeme saa 6 kwa siku huku wao wakidai mitambo yao huanza kufanyakazi ipasavyo baada ya saa 3-4 baada ya umeme kuwaka hivyo unapo wapa umeme saa sita inamaana wafanyakazi watakuwa wanafanya kazi saa 2 -3.....View attachment 33885wito wangu:...Ngereja boss wako jana kaonyesha njia chondechode ifate usisubiri tukuondoe kwa nguvu...CHADEMA maandamano lini tumngoe ngereja tunateseka watanzania
Ndiyo maana akina Ngereja, Pinda... hawaongopi kuwadanganya watanzania kwasababu ndiyo maelekezo ya boss wao aliyotumia mamilioni ya watanzania kwenye semina elekezi...Kinauma zaidi ni pale waziri anapodanganya mgao ni
masaa kumi mchana na usiku sita lakini sehemu nyingi ni siku nzima.
Hata rais hotuba ya mwezi wa kwanza alidanganya ikifika july tatizo litaisha..............labda limeisha kwake
Pole sana mkuu....Yakija maandamano ya kumng'oa ngeleja, mimi jiwe ntakuwa wa kwanza, kwa upuzi wake wa kuleta mgao wa umeme, fal a huyu kanipa umaskini kwan tayari nimecloseup my cafe and stationery, tuhimize maandamano ya kumtoa huyu kungun na faras mkubwa.