Mgao wa umeme-ni mbinu ya kuingia mikataba feki mipya?


spencer

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
2,864
Likes
1,463
Points
280

spencer

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
2,864 1,463 280
Nakumbuka Kipindi kile kilichoileta RICHMOND nchini ulianza Upuuuzi kama huu unaoendelea wa kuwekwa gizani kama mwezi hivi, Matokeo yake EL akaenda THailand kutafuta mvua ya kutengeneza, Baadaye ile ishu ikayeyuka baada ya uongozi kule Thailand kuangushwa. Mimi nilianza kuusoma mchezo na na kumbe ulikuwa ni kweli wanaucheza jamaa, Richmond ikaingizwa kimizengwe mizengwe huko wataalamu wakijua wazi kuwa haiwezi kazi.
Hivi sasa giza limetawala bila sababu ya maana; Wakati Maji yamejaa MTERA,Wakati Songosongo ipo inafanya nini, Wakati IPTL ipo Megawatt 100 ziko wapi????
Mi naona hili ni Dili tuuu, wanaandaa mazingira ya kuaminisha Wadanganyika ili MIkataba mingine tuingie.

Discuss!!!:target:
 

Forum statistics

Threads 1,204,165
Members 457,147
Posts 28,144,557