Mgao wa umeme mpaka lini? Kwa nini tunakubali kudanganywa?

James Kasonda

Member
Apr 2, 2012
84
49
Aliyebuni jina la wadanganyika anapaswa kupewa tuzo. Manake watanzania hata tukiambiwa tutazambaziwa mabomba yanayotoa pesa vijiji vyote tutakubali tu. Hii habari ya umeme imekuwa kero, tena kero kuliko kero. Tunadanganywa kila kunapokucha na tunabweteka tu. Jamani hivi wanaoshabikia chama tawala kilichotutawala kwa shida zote hizi wana macho kweli? Eti umeme mpaka vijijini! Eti maisha bora! Eti elimu bora! Wenzetu wanakula bata sisi tunalishwa harufu, hata makombo hatuyaoni. Tumia kura yako vizuri uchaguzi ujao na usikubali kuwa mdanganyika!!
 
Mkuu we acha tu....inatia hasira sana halafu kuna vizee vinavyoneemeka ndo vimeng'ang'ania hich chama pamoja na matoto yao!
 
Kanga,kofia,fulana,vitenge ndo vinawaponza hasa wanawake ambao akili zao ziko ********.
Nasikia sasa CCM wanajiandaa kutengeneza sox,kondom na vyupi vyenye nembo ya chama ili kupumbaza wengi zaidi. Inatia hasira,inatia uchungu.
 
hivi huu ni MGAO ua MNYIMO wa umeme.....mmmh..labda ni MGAWANYO...aargh..mi sijui nini bana..!!!
 
Back
Top Bottom