Mgao wa umeme: Kenya ni viwandani, sisi ni watumiaji wadogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgao wa umeme: Kenya ni viwandani, sisi ni watumiaji wadogo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lonestriker, Jul 26, 2011.

 1. Lonestriker

  Lonestriker JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hatimaye jirani zetu wa Kenya nao watakumbwa na mgao wa umeme.Mgao wa Kenya unatokana na kampuni ya umeme ya kujipanga upya ili kuondokana na kampuni za kifisadi zilizopata tenda ya kuuza umeme.Kama ilivyo hapa kwetu,kampuni ya IPTL imetajwa na Kenya power kama moja ya kampuni tata ambazo zilipata tenda kifisadi.Hata hivyo tofauti na Tanzania,wenzetu mgao utaathiri viwanda zaidi.Viwanda vina uwezo wa kupata njia ya mbadala ya kupata nishati kutokana na uwezo wa kiuchumi ilhali watumiaji wadogo ni ngumu mno kupata njia mbadala.kwanini kampuni yetu isitumie njia hii kusaidia watumiaji wadogo hasa wa nyumbani...au tutaambiwa kuwa economy of scale hairuhusu?
   
 2. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ivi unafananisha Kenya na Tz? Kenya ina ukame zaidi ya Tz lakini hawana shida ya umeme! Bongo ndio shida kila siku! Wacha watupige bao bwana...
   
 3. Margwe

  Margwe JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  This should not serve as 'panadol' to our irresponsible gentlemen.

  Kenya kukosa umeme should not be used to provide psychological confort zone kwa yeyote!
   
 4. Lonestriker

  Lonestriker JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  We have a problem,that we have to admit,no amount of bickering and sulking will help us.I was just trying to appoint out the Kenyan approach which in my opinion is better than ours.When we criticize we also have to air out viable alternatives.
   
Loading...