Mgao wa umeme: CHADEMA tuamshe watanzania tuseme basi

Ifikie mahali tuamue na kuamka kusema no kwa yanayoendelea Tanzania bila kujali vyama vya upinzani kuwepo au kutokuwepo
 
ccm imeshindwa
suala la msingi ni kuachia ngazi
chadema watuongoze kwenye maandamano.
Naunga mkono hoja 1000%
 
nchi inazidi kwenda kubaya na hapo tunatakiwa kujikomboa katika maisha .. je tutaweza kwa mgao huu wa umeme???????????
 
hao watu wakishaamka wakasema basi ndo umeme utawaka...?? Kinachohitajika ni CHADEMA, mimi na wewe tuangalie rasilimali tulizonazo kama JUA, UPEPO, GAS ni kipi ambacho kinaweza kugenerate power easily and fast kama short term plan!!! On doing this TANESCO iachwe ijiendeshe kibiashara kusiwe na mikono ya Politicians katika maamuzi yao koz wengi au wote ni vilaza as far as Umeme is concern!!!

Project kubwa zianze kujengwa na warudishe system ya Diesel Genset kwa kila mkoa wa KITANESCO ambazo zitakuwa kama back up on mains failure!!! Hospitali zote zipatiwe standby genset kama makampuni ya simu walivyofanya katika minara yao na koz tunachangia (KULIPIA) matibabu then swala la mafuta libaki chini ya uongozi wa hospitali na hapa kusiwe na dealz za kipuuzi katika ununuaji wa mafuta ya Genset hizi!!!

Kama MBOWE alipokamatwa alipelekwa mpk Arusha kwa Ndege na haikua kwenye Bajeti then hata hili la umeme ni viongozi wetu hawataki kufanya maamuzi ya kututoa kwenye hali hii!!! kujenga UDOM sio uamuzi mgumu!! Kama Serikali itaondoa mgao wa umeme sasa then huo utakua zaidi ya kujenga UDOM!!!!

Hizo Plan unazosema unadhani Ngeleja na wenzake hawazifahamu? wanazijua sana tu ila ndo kama alivyosema Lowassa kuwa utashi wa kufanya maamuzi magumu ndani ya serikali umekwisha mpaka wakumbushwe kwa maandamano kwa kuanzisha hoja ndani ya Bunge. Na chama pekee ambacho mpaka sasa kimeweza kuanzisha hoja ambazo mwisho wa siku serikali imekubali kuzifanyia kazi ni CHADEMA.

Naahidi yakiitishwa maandamano Dar lazima niibuke na bango kubwa manake mimi ni mmoja wa waathirika wakubwa wa mgao.
 
Back
Top Bottom