Mgao wa Milioni 200 Yanga, ni udhibitisho mwingine Yanga ni kama timu ya Ndondo

Ukisikia BINTI ana period msiamini sana akikisheni kavua chupii mtaabikaaa mkuu
 
Nina declare interest mimi ni Simba Sc,lakini swala linaloendelea Yanga Sc haliwahusu Yanga pekee. Hili ni suala la wapenda michezo wote.

Baada ya Yanga kuifunga Simba katika mchezo uliopita kuna fedha za motisha zimetolewa kwa baadhi ya wachezaji. Imesemwa kuwa fedha hizo zimegawiwa kwa wachezaji wachache tu na wale waliokuwa nje kutokana na matatizo mbalimbali wameishia kusikia tu.

Sauti ya Molinga na Bui Makame zinaonyesha wakilalamika kutokupewa mgao kwa sababu hawakuwa kwenye mipango ya kutumiwa na mwalimu.

Sijui kama mtoa pesa na uongozi wa Yanga walifikiria sawasawa kuhusu motisha hii. Katika hali ya kawaida tu,motisha ya kufanya vizuri ni timu nzima maana ni motisha pia ya kuendelea kufanya vizuri. This is common sense.

Nitolee mfano mdogo baada ya Taifa Stars kutinga Afcon,motisha mbalimbali zilitolewa na serikali. Motisha hizi zilizingatia wachezaji wooote. Mpaka ikatokea baadhi ya wachezaji kuomba Shomari Kapombe azingatiwe licha ya kutokuwepo kwenye timu,walitoa hoja nzito.

Walichokifanya Yanga ni kama timu ya ndondo,timu inaendeshwa kihuni. Na inafanywa bila kutafakari madhara yake. Kwa jinsi mgao ulivyofanyika inaondosha molari kwa wachezaji wengine.

Nimemsikia katibu wa Yanga akisema eti wachezaji hawana hoja kwa sababu ni nje ya mkataba. Hili ni suala la kutumia akili tu wala halihitaji mkataba,ukizingatia kiasi cha milioni 200 ni kikubwa na wachezaji wangefurahia motisha kwa umoja wao.

Yanga badilikeni,mnaonekana kituko licha ya kuongozwa na wasomi kama Dr.Msolla.

Mbali na hilo zipo tetesi pia zinasema Sportspesa wamejitoa kudhamini Yanga Sc kama miezi miwili iliyopita wakilalamika kwamba GSM wanapewa kipaumbele sana kushinda main sponsor. Tunasubiri majibu pia kuhusu hizi tetesi

Yaani hao sportpesa wajitoe tu hata Sasa...wanna wivu wa kike
 
Yaani hao sportpesa wajitoe tu hata Sasa...wanna wivu wa kike
Aliyerekodi ni Nani? Na amesambaza kwa ruhusa ya Nani...nimeona hii pia mmoja wa viongozi wa Simba naye eti anasambaza...ninachoshangaa ni viongozi wa yanga kukaa kimya kwa kitendo hicho Cha kiongozi huyo wa Simba...ilikuwa ni nafasi kwa yanga kuwaandikia TFF na nakala kuwasilishwa CAF na FIFA...nadhani baadhi ya viongozi wa Yanga ni bogus kabisa...wanashindwaje kuchukua hatua kwa suala Kama hili kwa kiongozi wa Simba kusambaza video ya uchochezi mitandaoni dhidi ya Yanga? Huu uongozi wa Yanga nadhani una matatizo...
 
Thibitisha kama kweli huu ni uchochezi
 
The onus should be kwa aliyesambaza/waliosambaza....athibitishe/wathibitishe kuwa huo siyo uchochezi
walioongea ni wachezaji wa yanga sasa kuna ubaya gani wa kusambaza hii habari walitakiwa kukanusha kuwa siyo wao walioongea vinginevyo sioni kama kuna tatizo kusambaza hii habari
 
Zile mil 200 inaonekana ziliwauma sana ndugu zetu mbumbumbu fc mtaaendeleaa kuzikumbukaa sababu zilitokana na kichapo kikali sana mlichokipata 8 March

Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima ziwaume,yule tajiri yao mbahili kamwe atotokea kutoa pesa kama ile kama bonus,hiyo walipochukua ubingwa tu aliwapa boxer,na siku ya kuwakabidhi full mapicha,sasa piga hesabu boxer ya m 2.3 × 30=? halafu na mapicha juu
 
walioongea ni wachezaji wa yanga sasa kuna ubaya gani wa kusambaza hii habari walitakiwa kukanusha kuwa siyo wao walioongea vinginevyo sioni kama kuna tatizo kusambaza hii habari
Wewe ukirekodiwa unaongea mambo yenu na rafiki yako, mkeo, girlfriend wako kuhusu mambo yenu na mtu akasambaza kwa hiyo ni sawa tu na kwamba wewe unachotakiwa kufanya ni kukanusha tu au siyo??!! Ngoja nikwambie ndugu yangu someni vizuri sheria za mitandao cyber crimes Act na hata penal code ndipo utaelewa...Nakwambia hivI Yanga au wachezaji wenyewe wakiamua kuchukua hatua huyo Manara wenu na wote waliosambaza hiyo video wanalo...mark my words..ni bahati mbaya tu kwamba uongozi wa Yanga hawsjui kitu otherwise that is a straight forward case...
 
hawa wachezaji walikuwa wanalalamika kwanini wametengwa kwenye mgao wa pesa ni wazi walipokuwa wanaongea ama walijirekodi au walirekodiwa ni vema kamaa kuna mtu ameona ameathirika akachukue hatua badala ya kukaa kimya
 
Nakwambia hivi Ndugu yangu kwamba Yanga ikichukua hatua dhidi ya huyo Manara wenu then he is in for it....hatakwepa adhabu kwamba Kama kiongozi wa Simba anaihujumu Yanga katikati ya ligi...it is a very serious mistake amefanya Manara...a very serious mistake...Wanayanga wakichukua hatua repercussions zake ni mbaya mno kwa Simba...make no mistake on this.

Amefanya kosa kubwa...ni bahati tu kwamba uongozi wa Yanga ni very very very weak.
.
 
Aliyerekodi ni Nani? Na amesambaza kwa ruhusa ya Nani...nimeona hii pia mmoja wa viongozi wa Simba naye eti anasambaza...ninachoshangaa ni viongozi wa yanga kukaa kimya kwa kitendo hicho Cha kiongozi huyo wa Simba...ilikuwa ni nafasi kwa yanga kuwaandikia TFF na nakala kuwasilishwa CAF na FIFA...nadhani baadhi ya viongozi wa Yanga ni bogus kabisa...wanashindwaje kuchukua hatua kwa suala Kama hili kwa kiongozi wa Simba kusambaza video ya uchochezi mitandaoni dhidi ya Yanga? Huu uongozi wa Yanga nadhani una matatizo...
Ndio maana Mimi huwa naamini viongozi wengi wa yanga hasa Mwenyekiti na Katibu wake wanaihujumu Yanga
 
Alietangaza milioni 200 ndo mshamba..
Wachezaji wanapewa motisha kulingana na mishahara yao..

Angesema Tu watalipwa zawadi Sawa na mishahara yao. Ingeondoa mgogoro.
Na ambao hawakucheza nusu mshahara
 
Ndio maana Mimi huwa naamini viongozi wengi wa yanga hasa Mwenyekiti na Katibu wake wanaihujumu Yanga
Kuhujumu hapana ..

Tatizo ni kuwa hawana experience na suala la soccer administration na hasa kwa klabu...Mimi nawafahamu wote wawili ...ni wanayanga wa ukweli...ila kwa mazingira ya soka ya Tanzania na hasa kwa klabu kubwa za Simba na Yanga inahitaji commitment ya Hali ya juu na hasa muda wa kushughulikia mambo mbalimbali...masuala ya fedha, kambi, wachezaji matatizo yao, majungu ya wanachama, hujuma mbalimbali, pressure kutoka kwa viongozi waandamizi ndani ya serikali, mikwara ya wapenzi oya oya, mikwara ya wanaodai ni kamati za ufundi na kadhalika...
 
Back
Top Bottom