Mgao wa Milioni 200 Yanga, ni udhibitisho mwingine Yanga ni kama timu ya Ndondo

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,189
103,708

Nina declare interest mimi ni Simba Sc,lakini swala linaloendelea Yanga Sc haliwahusu Yanga pekee. Hili ni suala la wapenda michezo wote.

Baada ya Yanga kuifunga Simba katika mchezo uliopita kuna fedha za motisha zimetolewa kwa baadhi ya wachezaji. Imesemwa kuwa fedha hizo zimegawiwa kwa wachezaji wachache tu na wale waliokuwa nje kutokana na matatizo mbalimbali wameishia kusikia tu.

Sauti ya Molinga na Bui Makame zinaonyesha wakilalamika kutokupewa mgao kwa sababu hawakuwa kwenye mipango ya kutumiwa na mwalimu.

Sijui kama mtoa pesa na uongozi wa Yanga walifikiria sawasawa kuhusu motisha hii. Katika hali ya kawaida tu,motisha ya kufanya vizuri ni timu nzima maana ni motisha pia ya kuendelea kufanya vizuri. This is common sense.

Nitolee mfano mdogo baada ya Taifa Stars kutinga Afcon,motisha mbalimbali zilitolewa na serikali. Motisha hizi zilizingatia wachezaji wooote. Mpaka ikatokea baadhi ya wachezaji kuomba Shomari Kapombe azingatiwe licha ya kutokuwepo kwenye timu,walitoa hoja nzito.

Walichokifanya Yanga ni kama timu ya ndondo,timu inaendeshwa kihuni. Na inafanywa bila kutafakari madhara yake. Kwa jinsi mgao ulivyofanyika inaondosha molari kwa wachezaji wengine.

Nimemsikia katibu wa Yanga akisema eti wachezaji hawana hoja kwa sababu ni nje ya mkataba. Hili ni suala la kutumia akili tu wala halihitaji mkataba,ukizingatia kiasi cha milioni 200 ni kikubwa na wachezaji wangefurahia motisha kwa umoja wao.

Yanga badilikeni,mnaonekana kituko licha ya kuongozwa na wasomi kama Dr.Msolla.

Mbali na hilo zipo tetesi pia zinasema Sportspesa wamejitoa kudhamini Yanga Sc kama miezi miwili iliyopita wakilalamika kwamba GSM wanapewa kipaumbele sana kushinda main sponsor. Tunasubiri majibu pia kuhusu hizi tetesi
 
Zile mil 200 inaonekana ziliwauma sana ndugu zetu mbumbumbu fc mtaaendeleaa kuzikumbukaa sababu zilitokana na kichapo kikali sana mlichokipata 8 March

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ishu ya Yanga ipo hivi,GSM kuna mambo ya kimkataba na Yanga na mambo mengine si ya kimkataba,Mengi wanayofanya si ya kimkataba,wametoa bonus na hawajawapa viongozi ila wameangalia kuwapa baadhi ya wachezaji,sasa hapo uongozi hauna namna maana hata mtu binafsi anaweza kwenda jangwani akaanza kuwapa hela baadhi ya wachezaji kiupendeleo,kilicholeta maelewano mabaya ni kwamba anayefanya hivo ndo mdhamini wao,kosa hapo lipo kwa gsm

Mkuu nakubaliana na wewe kwamba mtu binafsi anaweza kwenda jangwani na kuanza kuwapa pesa wachezaji kwa utashi wake,lakini kwa hatua na mahusiano ambayo GSM ameshafikia na Yanga amekuwa ni zaidi ya sponsor,mpaka amefikia hatua ya kusajili na kulipa mishahara. Kuweka umoja na mshikamano inakuwa busara kukaa na uongozi kuweka utaratibu mzuri wa kutoa bonas kama hizi
 
Back
Top Bottom