Nimekuja,kulikoni!Drone Camera njoo kwanza
Tunawauliza mloshika nji..mna shida gan haziishi na jiji letu pendwa la kujidai?Nimekuja,kulikoni!
Lol sijashika mji mimi.Mwenyewe nimechukia leo kazi zangu nyingi zimekwama kisa laini yetu haikuwa na umeme.Ndo umerudi muda si mrefu,nimechukia sana.Maji hawajatukatia leo.Namsubiri mzee baba aje na huku.Tunawauliza mloshika nji..mna shida gan haziishi na jiji letu pendwa la kujidai?
Endeleeni kuchota maji ziwani mpaka ccm itakapoondoka madarakani ndio ukombozi utafika Mwanza.Huku mgao wa maji huku umeme jiji limekuwa kama wanaishi wahuni hivi mkuu wa mkoa huwezi kutatua matatizo kama haya au mpaka aje rais? Leo umeme pia ni kero tupu maji ndo kama hivyo tunakimbizana na madumu kila siku wakati maji yapo hapa tu.
Huku mgao wa maji huku umeme jiji limekuwa kama wanaishi wahyhuni hivi mkuu wa mkoa huwezi kutatua matatizo kama haya au mpaka aje rais? Leo umeme pia ni kero tupu maji ndo kama hivyo tunakimbizana na madumu kila siku wakati maji yapo hapa tu.
Lol sijashika mji mimi.Mwenyewe nimechukia leo kazi zangu nyingi zimekwama kisa laini yetu haikuwa na umeme.Ndo umerudi muda si mrefu,nimechukia sana.Maji hawajatukatia leo.Namsubiri mzee baba aje na huku.
Ndio shida ya serikali hii ya kishetani hawajali kabisa wananchi