Mgao wa Hisa za Vodacom 2019 sijazipata. Zimetolewa?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,230
6,469
Hello JF.

Nilinunua hisa za kampuni ya mawasiliano kwa simu za mkononi Vodacom mwezi may 2017. Hadi sasa ninapoandika sijapata gawio na NBC Bank aliyekuwa mshenga ama wakala wakati wa uuzaji hisa hizo hawanipi ushirikiano dhabiti ktk hili.

Je wadau wenye hisa huko au wenye tetesi nini kinaendelea?
 
Halo JF.

Nilinunua hisa za kampuni ya mawasiliano kwa simu za mkononi Vodacom mwezi may 2017. Hadi sasa napoandika sijapata gawio na NBC Bank aliyekuwa mshenga ama wakala wakati wa uuzaji hisa hizo hawanipi ushirikiano dhabiti ktk hili.

Je wadau wenye hisa huko au wenye tetesi nini kinaendelea?
Mkuu walitoa mwaka jana na mwaka huu wameshatangaza wanatoa angalia cheti cha hisa zako ili uweze kuwasiliana nao siyo NBC tena au wasiliana na Vodacom watakupa contact. Mara nyingi huwa wanaweka kawio kwenye account yako uliyoandika wakati unanunua hisa.
 
Bado hawajaniwekea
 
Watatoaje Gawio Wakati Hisa Bado Zinacheza Kwenye Tsh 770s Wakati Ninyi Mlinunua Kwa Tsh 850 IPO ?
Acha kumpotosha mwenzio kushuka kwa bei ya hisa (capital loss) hakuna uhusiano wowote na kupata gawio (dividend). Kama hujalipwa mpaka leo fuatilia nimesha lipwa mara tatu toka nimenunua.
 
Acha kumpotosha mwenzio kushuka kwa bei ya hisa (capital loss) hakuna uhusiano wowote na kupata gawio (dividend). Kama hujalipwa mpaka leo fuatilia nimesha lipwa mara tatu toka nimenunua.
Hatari hii, urasimu mtupu, mimi nimelipwa mara moja tu
 
Back
Top Bottom