Mgao wa fedha za TANESCO kwa EWURA ni wizi mtupu


Kumbakumba

Kumbakumba

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2011
Messages
222
Likes
0
Points
0
Kumbakumba

Kumbakumba

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2011
222 0 0
Wakati mwingine najiuliza ni kwann tanesco inawalipa EWURA kutoka katika kila bili ya mtumiaji wa umeme?Kwa mtizamo wangu kwa kuwa mfumo wa uzalishaji umeme nchi kwa kiasi kikubwa unategemea maji, na maji haya vyanzo vyake vikuu ni misitu ambayo kisheria inahifadhiwa na Idara ya misitu na nyuki chini ya wizara ya nishati na madini. Nafikiri ingekuwa sahihi zaidi Tanesco ingekuwa inailipa idara ya misitu na maji hizo fedha inayowalipa ewura. vivyo hivyo kwa kuwa jamii zinazozunguka misitu hii ni muhimu katika uhifadhi vizuri wa misitu hii na vyanzo vya maji ndani ya misitu hii,idara ya misitu nayo ingetoa fungu kusaidia jamii hizi katika shughuli za kijamii na maendeleo..Kwa namna hii nafikiri ndio uhalisia wa malipo haya ungekuwepo....SIONI KWANN UWURA WANALIPWA NA HAWAZALISHI MAJI NA HATA WASIPOLIPWA SIONI KAMA WATAKUWA NA MADHARA YOYOTE KWENYE MFUMO WA UZALISHAJI UMEME NCHINI...MGAO TUNAOUONA SASA NI PAMOJA NA KUHARIBIKA KWA VYANZO VIKUBWA VYA MAJI NDANI YA MISITU YA ASILI HASA MILIMA YA TAO LA MASHARIKI, NA HII INATOKANA NA UFINYU MKUBWA WA BAJETI KWA IDARA YA MISITU NA NYUKI LAKINI PIA JAMII NAZO ZIMECHOKA KUHIFADHI MISITU HII HUKU WAKIWA HAWAPATI FAIDA YOYOTE YA MOJA KWA MOJA
 

Forum statistics

Threads 1,237,586
Members 475,561
Posts 29,294,023